Hii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu
Date: March 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Nimeamka asubuhi nikiwa na elfu 1 tu mfukoni, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi nipate kunywa chai. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya AZAM kama Simba vile. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti wakati anafika yanapouzwa maandazi akagundua kuwa kapoteza hela yangu, hivyo akaanza kurudi, ila bahati nzuri wakati anarudi ili kuja kunitaarifu kuhusu kupotea kwa hela yangu, njiani akaokota elfu 1 ambayo kuna mtu alipoteza ndio akaamua kununua askrimuβ¦.kwa sasa niko polisi na mtoto yuko dispensari na mamakeπππππππ
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Related Posts
Mwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ili...
Read More
Phone call
gal: hellow
Boy: sweety mambo vipi?
Girl: poa
Boy: utakuwa free weekend? nilikuwa nataka ...
Read More
Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini...
Read More
Mhindi afaulu mtihani wa Kiswahili
(1) Mfa maji ?β¦β¦β¦β¦β¦β¦.. Tampa life jacket.Read More
Kasuku alisimama mlango wa kuingia supermarket wakapita wanawake watatu akasema nyeupe, nyekundu, ki...
Read More
Mwanamke wakizaramo: Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, anali...
Read More
Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisien...
Read More
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine ...
Read More
Eti kati yaΒ MAMBAΒ naΒ KIBOKOΒ nani kiboko???ππππ...
Read More
Mtoto:Β baba eti Botwasna ipo wap?
Baba:Β angalia itak...
Read More
Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vik...
Read More
Wanaume wana upendo kwa kweli.
Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! H...
Read More
Diana Mumbua (Guest) on July 9, 2020
π Imeongezwa kwenye vipendwa!
Betty Cheruiyot (Guest) on June 11, 2020
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! ππ
Margaret Anyango (Guest) on May 18, 2020
Hii imenikuna sana! ππ
Richard Mulwa (Guest) on April 30, 2020
π€£ππ
Alice Jebet (Guest) on April 21, 2020
Hii ni dhahabu ya vichekesho! π
Khalifa (Guest) on April 4, 2020
π Hii ni ya kuhifadhi!
Carol Nyakio (Guest) on April 4, 2020
π Bado nacheka, siwezi kuacha!
Joseph Njoroge (Guest) on April 3, 2020
Huyu alikuwa na point! ππ
Patrick Mutua (Guest) on March 29, 2020
πππ π
Anna Kibwana (Guest) on February 28, 2020
Huu ucheshi hauna kifani! π€£π₯
Stephen Mushi (Guest) on December 13, 2019
Hii ni joke ya kipekee sana! ππ
Elizabeth Mrema (Guest) on November 4, 2019
πππ π€£
Stephen Malecela (Guest) on October 10, 2019
πππ€£
Sarah Achieng (Guest) on October 6, 2019
π€£ππ
David Sokoine (Guest) on September 30, 2019
Ucheshi wa hali ya juu! ππ
Joyce Nkya (Guest) on September 29, 2019
π πππ
Joyce Nkya (Guest) on July 17, 2019
π€£π€£ππ
Shukuru (Guest) on July 2, 2019
π€£ Sikutarajia hiyo!
Mercy Atieno (Guest) on July 2, 2019
π Sikutarajia hiyo ikitokea!
Mary Kendi (Guest) on May 31, 2019
ππ€£ππ
Simon Kiprono (Guest) on May 13, 2019
Kweli mnajua kuchekesha! ππ
Dorothy Mwakalindile (Guest) on May 5, 2019
Nimecheka hadi nimemiss kicheko! ππ
Victor Kamau (Guest) on April 23, 2019
π Nimeipenda kabisa hii!
Hellen Nduta (Guest) on April 9, 2019
π€£π€£π
Alice Mwikali (Guest) on February 21, 2019
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ππ
Raha (Guest) on February 11, 2019
π Nalia kwa kweli hapa!
Nancy Kabura (Guest) on January 22, 2019
ππ π
Lucy Wangui (Guest) on January 4, 2019
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! π
Ruth Kibona (Guest) on December 20, 2018
π Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
Mwakisu (Guest) on December 14, 2018
Asante Ackyshine
Victor Mwalimu (Guest) on December 12, 2018
Hizi jokes zinabamba sana! ππ
Patrick Kidata (Guest) on December 7, 2018
ππ€£π
Latifa (Guest) on December 6, 2018
π€£ Ujuzi wa hali ya juu!
Saidi (Guest) on December 5, 2018
π Siwezi kuacha kucheka!
Elizabeth Mrema (Guest) on October 30, 2018
π ππ
Francis Njeru (Guest) on September 14, 2018
Umeimaliza kabisa, kichekesho gani! π
Francis Mtangi (Guest) on August 25, 2018
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! π
Zakia (Guest) on August 8, 2018
Nimependa hii! Endelea kuzileta! π
Josephine Nekesa (Guest) on August 7, 2018
Kweli mnajua kuchekesha watu! π€£π
Zulekha (Guest) on August 6, 2018
π Ninahitaji kuihifadhi hii milele!
Wilson Ombati (Guest) on August 3, 2018
Hii kichekesho ni ya kuhifadhi bila shaka! π
Betty Kimaro (Guest) on July 23, 2018
π Naihifadhi hii!
Jane Muthoni (Guest) on June 21, 2018
Brilliant! Muda wake ulikuwa kamili! β°
Joseph Kawawa (Guest) on May 25, 2018
ππ
Mwafirika (Guest) on April 28, 2018
π Ninashiriki mara moja!
Henry Sokoine (Guest) on April 19, 2018
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ€£
Monica Nyalandu (Guest) on April 14, 2018
π Hii imenichekesha kwa sauti kweli!
Saidi (Guest) on April 6, 2018
π Hali imeboreshwa papo hapo!
Peter Otieno (Guest) on March 8, 2018
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ππ€£
Nancy Kabura (Guest) on February 26, 2018
ππ€£π₯
Moses Kipkemboi (Guest) on February 5, 2018
π Siwezi kusubiri kushiriki hii!
Abubakar (Guest) on January 18, 2018
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
Miriam Mchome (Guest) on January 6, 2018
π Hii kichekesho imenifurahisha siku nzima!
Nuru (Guest) on December 30, 2017
Kama kawaida! Bado nacheka! π
Paul Kamau (Guest) on December 23, 2017
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! ππ€£
Irene Akoth (Guest) on December 12, 2017
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ
Frank Macha (Guest) on December 6, 2017
Nimecheka kwa sauti! π€£π€£
James Malima (Guest) on November 15, 2017
Hii imenifurahisha sana! ππ
David Musyoka (Guest) on November 15, 2017
Hii kichekesho itaingia moja kwa moja kwenye vipendwa vyangu! π
Mariam (Guest) on November 9, 2017
π Kicheko bora ya siku!