Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
AckyShine

Angalia wadada walivyoumbuka kwenye hii test

Featured Image

Ticha katangaza test , Akatoa Masharti; Ukiandika jibu hamna kufuta au kukata.

Swali la kwanza,
Taja vyakula vi3 ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula (marks 1)

WAVULANA wakajaza; wali, ugali, mihogo.
WADADA wakajaza; burger, pizza, egg chop. Swali la

 

236 Comments

Hawa wanaume wanaopenda wanawake hovyo barabarani wamepatikana, hawatarudia 😂😂😂

Featured Image
236 Comments

Alichokisema mwizi baada ya kushinda bahati nasibu

Featured Image
236 Comments

Angalia huyu Jamaa alichomfanyia mke wake jana

Featured Image
237 Comments

Kilichotokea baada ya kuzamia sherehe

Featured Image
237 Comments

Angalia sababu ya mwanamme kubadili jina na Kuitwa jina la kike, hii dunia ina mambo kweli

Featured Image
237 Comments

Wasichana wa leo

Featured Image
236 Comments

Huu ndio uchawi unaweza kufanyika siku mpenzi wako akikutambulisha kwao

Featured Image
237 Comments

Huu ndio mlolongo wa michepuko kuwahi kutokea kati ya mke, mume mwanafunzi na boss

Featured Image
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week (Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
237 Comments

Wabongo ni noma! Angalia huyu mbongo anachokifanya

Featured Image
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!.. Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!.. Wakwanza alikuwa MUHINDI, wa pili MCHINA na MBONGO!…
237 Comments