Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMSπŸ’ŒπŸ’•
☰
AckyShine

Je,niwasiliane na niishi vipi na watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Featured Image

Mtu anayeishi na virusi vya UKIMWI na UKIMWI anahitaji ushauri na mara pale atakapohisi unamjali i i i i i i i ( unamheshimu) na kumjali, uzito wa ugonjwa unakuwa mwepesi. Mtu mwenye UKIMWI ni mgonjwa kama wagonjwa wengine, i isipokuwa anahitaji faraja zaidi kwa sababu ugonjwa wake hauna tiba.
Matunzo sahihi i kwa watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI ni muhimu, Mtu anayeishi na Virusi vya UKIMWI apate lishe bora i ili aweze kuimarisha afya yake na awe msafi wa mwili, nguo, nyumba na vyakula. Pia apatiwe matibabu haraka na kwa ukamilifu kwa maradhi yote yatakayojitokeza na asaidiwe kufanya kazi nzito.
Mtu anayeishi na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI ana haki za binadamu kama binadamu wengine. Kumbuka kwamba rafiki au ndugu yako mwenye Virusi vya UKIMWI na UKIMWI bado ni rafiki au ndugu yako!

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Je, mwanaume ambaye ana uwezo wa kumwaga shahawa bila shida, inawezekana kwamba ni mgumba?

Je, mwanaume ambaye ana uwezo wa kumwaga shahawa bila shida, inawezekana kwamba ni mgumba?

Ndiyo, mwanaume ambaye ana uwezo wa kumwaga mbegu bila shida anaweza kuwa mgumba. Kutokuwa mgumba... Read More

Je, kuna mambo mazuri na mabaya kuhusu ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna mambo mazuri na mabaya kuhusu ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna mambo mazuri na mabaya kuhusu ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna mambo mengi sana ambayo ... Read More

Je, katika kujaribu fantasia za ngono/kufanya mapenzi pamoja na mwenza wako?

Je, katika kujaribu fantasia za ngono/kufanya mapenzi pamoja na mwenza wako?

Je, katika kujaribu fantasia za ngono/kufanya mapenzi pamoja na mwenza wako? Hii ni mada ambayo i... Read More

Jeshi la polisi linafanya nini katika kukomesha mauaji na madhara yanayotendeka kwa Albino?

Jeshi la polisi linafanya nini katika kukomesha mauaji na madhara yanayotendeka kwa Albino?

Jeshi la polisi limeanza mikakati maalumu kuchunguza masuala
yote yanayohusu vitendo hivyo, ... Read More

Madhara ya pombe kwa mwili na akili

Madhara ya pombe kwa mwili na akili

Pombe huingia kwenye damu na kuzunguka mwili mzima pamoja
na kwenye ubongo wako. Ina madhara... Read More

Je, watu wanapendelea ngono/kufanya mapenzi ya kawaida au ngono/kufanya mapenzi ya kufanya mazoezi ya kimwili?

Je, watu wanapendelea ngono/kufanya mapenzi ya kawaida au ngono/kufanya mapenzi ya kufanya mazoezi ya kimwili?

Habari rafiki! Karibu katika makala hii ambayo itakupa mwanga kuhusu kile watu wanapendelea kati ... Read More

Njia za Kufanya Msichana Amevutiwa na Wewe kwa Muda Mrefu

Njia za Kufanya Msichana Amevutiwa na Wewe kwa Muda Mrefu

Habari wapendwa, leo tutazungumzia njia za kufanya msichana amevutiwa na wewe kwa muda mrefu. Kun... Read More

Je, Ni Vipi Kuepuka Shinikizo la Kufanya Ngono?

Je, Ni Vipi Kuepuka Shinikizo la Kufanya Ngono?

Je, ni vipi kuepuka shinikizo la kufanya ngono? Hii ni swali ambalo vijana wengi hujikuta wakijiu... Read More

Njia za Kufanya Tarehe ya Kwanza Iwe ya Kusisimua na Msichana

Njia za Kufanya Tarehe ya Kwanza Iwe ya Kusisimua na Msichana

Unapokwenda kwenye tarehe ya kwanza na msichana, ni muhimu sana kufikiria njia za kufanya tarehe ... Read More

Njia za Kuzuia Mimba

Njia za Kuzuia Mimba

Njia za uzazi wa mpango zinatofautiana sana na zinaweza kugawanywa katika makundi mengi:

Vizuizi... Read More

Je, kuna umuhimu kuweka mazingira ya kimapenzi kabla ya kufanya ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna umuhimu kuweka mazingira ya kimapenzi kabla ya kufanya ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna umuhimu wa kuweka mazingira ya kimapenzi kabla ya kufanya ngono au kufanya mapenzi? Ndio... Read More

Kwa nini hairuhususiwi kuotesha au kuvuta bangi, iwapo kupanda na kuvuta tumbaku kunaruhusiwa?

Kwa nini hairuhususiwi kuotesha au kuvuta bangi, iwapo kupanda na kuvuta tumbaku kunaruhusiwa?

Sheria ya Tanzania inaeleza dawa zilizo halali na zisizo halali.
Tumbaku imekubalika na jami... Read More