Hii ndio Bongo
Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya.
MZEE: Chagua gari unalotaka mpenziβ¦.kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic .
BINTI: Mi naitaka hii
MZEE: Hakuna tatizo kabisaaa, mtoto mzuri kama wewe lazima upate gari uloichagua mwenyewe. Mzee akatoa kitabu cha cheki na kuandika palepale na kumpa mwenye yard
MUUZAJI: Sasa Mzee kwa kuwa umetoa cheki, gari utakuja chukua Jumatatu tukishahakikisha kuwa Account yako ina pesa benki. Naomba namba yako ya simu Mzee
MZEE: Hakuna tatizo (akampa namba). Haya twende zetu sweetie Jumatatu tunakuja wote kuchukua gari lakoβ¦
Siku ya Jumatatu mwenye yard kampigia simu Mzee.
MUUZAJI: We Mzee kavu sana, akaunti yako haina hata senti tano.
MZEE: Hilo nilijua, lakini wiki endi yangu ilikuwa tamu sana.
π¦ππ¦
Carol Nyakio (Guest) on July 17, 2015
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu! ππ€£
Robert Ndunguru (Guest) on July 16, 2015
Hii ndio nilihitaji leo! Asante! π
John Mwangi (Guest) on June 30, 2015
ππ€£ππ
Dorothy Mwakalindile (Guest) on June 24, 2015
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu sana! ππ
Mwanais (Guest) on June 22, 2015
π Hii ni ubunifu wa hali ya juu!
Richard Mulwa (Guest) on June 20, 2015
π Imeongezwa kwenye vipendwa!
Diana Mumbua (Guest) on June 12, 2015
π Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
Mary Kendi (Guest) on May 27, 2015
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ
David Ochieng (Guest) on May 23, 2015
π Siwezi kusubiri kushiriki hii!
Sarah Mbise (Guest) on May 12, 2015
π Nitaiiba hii bila shaka!
Joy Wacera (Guest) on April 28, 2015
Hii ni joke ya maana sana! ππ
Betty Akinyi (Guest) on April 28, 2015
ππ€£ππ
Mwinyi (Guest) on April 12, 2015
π€£ Ninaituma sasa hivi!