Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
โ˜ฐ
AckyShine

Huyu mama mkwe kazidi sasa

Featured Image
236 Comments

Alichofanya mke baada ya mme wake kupenda kumchunga sana

Featured Image

Alifanya hivi;
Siku ya kwanza

MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?.
MKE: Salama tu
MUME: Uko wapi?
MKE: Jamani si niko nyumbani
MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa blender nisikieโ€ฆ..mkeยญ akawasha blender
MKE: Umesikia?
MUME: Okay haya mi natoka kazini naja

ย 

236 Comments

Soma alichojibiwa huyu mzee baada ya kudai kutaka kumsikiliza Nyerere

Featured Image
236 Comments

Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani

Featured Image
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini? . MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali . MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa fainiโ€ฆ Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa
238 Comments

Angalia pombe ilichomfanya huyu jamaa, kweli pombe haimuachi mtu salama

Featured Image
236 Comments

Analia kilichompata huyu jamaa baada ya kubadili jinsia yake kichawi

Featured Image

Jamaa alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yake mtaalam wamambo yetu ya Jadiโ€ฆ

Jamaa akaongea na bibi yake amuwekee jinsia ya kike ili akashinde Mahakamani na akitoka arudishiwe mambo yake kama kawaida.

ย 

237 Comments

Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama huyu

Featured Image
236 Comments

Ukimuona mbwa kwenye harusi hii ndiyo maana yake

Featured Image
236 Comments

Jamaa amkomesha boss wake

Featured Image
236 Comments

Eti hili nalo ni kweli kwa dada yako?

Featured Image
236 Comments