Alichokifanya jamaa baada ya kuokota wallet yenye pesa za kumwaga
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station
"Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na kikaratasi chenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu kinene hiviโฆ"
Updated at: 2024-05-25 18:04:09 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station
"Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na kikaratasi chenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu kinene hiviโฆ"
Mtangazaji akasema:- Akhasante sana John, kwa hiyo ungependa kumrudishia mwenyewe kama ana kusikiliza akutafute kwa No. Gani!?
John: Hapana, mi nilikuwa namshukuru tu maana amenitoa kwenye matatizo na ninapenda kumuombea Dedication wimbo wa Snura "MAJANGA" umfikie popote pale alipoโฆ!!!
Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!
Updated at: 2024-05-25 18:12:54 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; "chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE". Unafikiri atakuwa amekula nini?
Nilichomfanyia huyu aliyenizingua nilipomuazimisha pasi
Updated at: 2024-05-25 17:03:53 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
๐๐๐๐๐๐ Jana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu, Jamaa wakaniambia nichukue nguo nikanyooshe room kwao maana hawataki pasi yao itoke. Sasa leo amekuja mmoja wao kuazima mopper akasafishe room, nimemwambia aje adekie humu humuโฆ
Jamaa ameondoka nadhani atakua ameenda kuchukua maji ๐ค๐ค๐ค
Kilichompata huyu anayependa kusoma SMS za watu kwenye daladala
Updated at: 2024-05-25 17:01:56 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jana nilipanda daladala nikapata seat nikaketi, nikawa nimejiachia ninachati kwenye simu yangu(Smart phone), kukawa na jamaa kasimama pembeni yangu, ye hakupata seat. Sasa akawa anasoma message zangu bila aibu yani anafutilia ninavyochatiโฆ
Basi nikasema ngoja nimtie Adabu mshenzi huyuโฆ. Nikacheck saa yangu yamkononi kisha nikatext:ย "Oya Ben Kwaheri bwana, zimebaki sekunde 30 tu hili bomu๐ฃ lilipukeโฆ najua hatutaonana tena, nitunzie Familia yangu, wambie nawapenda sanaโฆ"ย Yule jamaa akajirusha dirishaniโฆโฆ๐๐
โkwani mi napenda ujinga xx ๐๐๐๐๐๐๐