Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMSπŸ’ŒπŸ’•
☰
AckyShine

SMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea

Featured Image

Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani,
nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,
utakuwa wangu siku dear!
Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,
naomba unisamehe na ninaahidi
kutorudia tena katika penzi letu!

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Faith Kariuki (Guest) on August 18, 2024

Moyo wangu unajua lugha moja tu, nayo ni lugha ya upendo kwako. Kila pumzi ninayovuta ni ahadi nyingine ya kukupenda zaidi, bila kujali hali gani inakuja. Upendo wetu ni imara kama mlima, hauna mwisho β€οΈπŸ’¨

Guest (Guest) on April 13, 2026

BENJA

Guest (Guest) on July 15, 2026

jameni naombeni mtumie huu mtandao kwa ajiri ya kutafta,kazi,wachumba nakuendelea by obm sound mtunzi onesmo

Guest (Guest) on July 5, 2026

Nothing done

Guest (Guest) on April 17, 2026

Ranveel.4.

Guest (Guest) on July 15, 2026

Natafta mchumba kama upo tayari unitafte kupitia namba 0799164209 by obm small son although many things

Guest (Guest) on July 5, 2026

Uhakika

Guest (Guest) on June 20, 2026

Moon

Guest (Guest) on June 16, 2026

ay

Guest (Guest) on April 30, 2026

OBM SOUND MTUNZI ONESMO AND LILY FROM DAR

Guest (Guest) on April 30, 2026

MY OBM SOUND MTUNZI ONESMO AND LILY MY WIFE FOREVER

Guest (Guest) on April 30, 2026

LILY WA OBM SOUND MTUNZI ONESMO

Guest (Guest) on February 7, 2026

WEWE NI PONEO KWANGU BY OBM SOUND

Guest (Guest) on February 7, 2026

NAKUPENDA SANA MPENZI WANGU NAKUPENDA KAMA UHAI NAKUWAZA KAMA PESA, NAKUJARI KAMA UTAJIRI SIKUCHOKI KAMA USINGI NANDIYO MAANA UKAAPO KMYA NAWAZA BY OBM SOUND MTUNZI ONESMO KIJANA MDOGO LAKINI MAMBO MENGI

Guest (Guest) on July 5, 2026

Mapenzi ni fumbo mdogo wangu m2 akizingua rukia kwingne pengne unaweza ukawa unam2mia text zako za kuomba msamaha bado akazingua.

By nobody

Nchi (Guest) on August 14, 2024

Nakupenda zaidi ya vile dunia inavyoweza kueleza. Wewe ni kila kitu nilichowahi kuhitaji, na najua kuwa upendo wetu utadumu milele πŸŒπŸ’ž.

Thomas Mtaki (Guest) on August 7, 2024

Kila usiku unapofunga macho yako, ninatuma maombi yangu ya upendo kwako. Nakutakia ndoto tamu, ndoto ambazo zinaakisi hisia zangu za dhati kwako, na ambazo zitakufanya uhisi furaha ya kweli πŸŒ πŸ’€.

Guest (Guest) on January 27, 2026

NAKPENDA

Guest (Guest) on May 28, 2026

Saw

Guest (Guest) on April 30, 2026

unampenda nani

Guest (Guest) on June 27, 2026

Lightness

Guest (Guest) on May 14, 2026

Esta

Guest (Guest) on May 18, 2026

Mapenzi

Guest (Guest) on March 10, 2026

0692001659

Guest (Guest) on May 15, 2026

0788265194

Guest (Guest) on March 10, 2026

Nakupenda sana mpenz wang nakupenda kama uhai nakuwaza kama pesa nakujali kama UTAJIRI SIKUCHOKI KAMA USINGIZI NA NDIYO MAANA UKAAPO KIMYA NAWAZA BY:AMJ

Guest (Guest) on February 7, 2026

KAMA UNANIPENDA NJOO GETO BY OBM SOUND

Guest (Guest) on July 5, 2026

Geto hiyo kwio

Guest (Guest) on July 15, 2026

Wew nan unanijib geto langu kwiyo by obm

Guest (Guest) on April 30, 2026

ghetoni kwako siji hata kwa dawa jaman naogopa sana

Guest (Guest) on May 7, 2026

kwan wew nani by OBM SOUND MTUNZI ONESMO

Guest (Guest) on May 2, 2026

HEBU NITUMIE NAMBA ZAKO BY OBM SOUND MTUNZI ONESMO

Guest (Guest) on May 2, 2026

KWANINI UOGOPE KUJA GHETONI KWANGU KWAHIYO HAUTAKI UTAMU? By obm sound mtunzi onesmo

Ann Wambui (Guest) on August 2, 2024

Kama moyo wangu ungeweza kuandika, ungeandika vitabu vingi kuhusu upendo wetu. Lakini hata vitabu hivyo vingeweza kushindwa kueleza jinsi ninavyokupenda kwa dhati πŸ“šβ€οΈ.

Agnes Lowassa (Guest) on July 10, 2024

πŸ’–β€οΈπŸ’‹

Paul Ndomba (Guest) on July 8, 2024

Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu; wewe ni sehemu ya roho yangu. Upendo wako ni zawadi ya thamani ambayo imenifanya nijue maana halisi ya maisha. Wewe ni kila kitu kinachonifanya nihisi furaha na amani πŸ’–πŸ€—. Nakushukuru kwa kuwa nami, kwa kunifanya niamini katika upendo wa kweli. Nakupenda zaidi ya vile neno lolote linavyoweza kueleza πŸ’–πŸ˜Š.

Guest (Guest) on December 8, 2025

0690674788

Guest (Guest) on March 16, 2026

Vp

Guest (Guest) on April 30, 2026

phresh out the runway

Guest (Guest) on May 9, 2026

veap wew nan by obm sound mtunzi onesmo

Guest (Guest) on March 28, 2026

Pw mamb

Guest (Guest) on July 5, 2026

Pw

Guest (Guest) on June 16, 2026

P9

Guest (Guest) on April 13, 2026

uko poa

Guest (Guest) on April 7, 2026

Are u good?

Guest (Guest) on December 27, 2025

Naitwa masanja 0787913984

Guest (Guest) on June 9, 2026

naitwa Emanuel
S, L

Guest (Guest) on February 7, 2026

NAITWA OBM NIPIGIE 0762856177

Wilson Ombati (Guest) on July 8, 2024

Kama ningekuwa na nafasi ya kuchagua maisha yangu tena, ningechagua maisha haya haya, lakini safari hii ningekutafuta mapema. Kila dakika ya kuwa nawe ni baraka, na sijawahi kujutia hata sekunde moja. Wewe ni sababu ya kila kitu kizuri maishani mwangu, na natamani tumefurahia pamoja kila wakati πŸ’«πŸ’ž. Ningeweza kupitia changamoto zote tena ilimradi mwisho wake uwe ni wewe na mimi pamoja, katika upendo usiokoma. Nakupenda na sitaki kuacha kamwe kuwa na wewe kwa maisha yangu yote πŸ’–πŸŒŸ.

Sarah Mbise (Guest) on July 7, 2024

Nakupenda kwa dhati, na kila siku ninayoishi ni kwa ajili ya kukufanya uhisi furaha. Wewe ni sababu ya kila kitu kizuri maishani mwangu, na naahidi kukutunza daima πŸ₯°πŸ’.

Nora Kidata (Guest) on July 5, 2024

Wewe ni mwangaza unaoniongoza katika giza la dunia. Nakushukuru kwa kunipa sababu ya kuamini katika ndoto zetu, na najua kuwa tutazitimiza zote pamoja πŸ’«πŸŒ.

James Kawawa (Guest) on June 28, 2024

Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu; wewe ni sehemu ya roho yangu. Upendo wako ni zawadi ya thamani ambayo imenifanya nijue maana halisi ya maisha πŸ’–πŸ€—.

Shamsa (Guest) on May 31, 2024

Nakupenda kwa kila pumzi ninayovuta. Wewe ni maisha yangu, furaha yangu, na mwanga wangu. Bila wewe, mimi si kitu, na nataka tuwe pamoja milele πŸ’πŸ’ͺ. Kila siku ninayokuwa nawe ni baraka, na sitaki kamwe kupoteza mwanga huo wa upendo wetu. Nakushukuru kwa kila kitu unachonifanya, na najua kuwa maisha yetu yatakuwa na furaha na upendo wa milele πŸ’–πŸ’ž.

Guest (Guest) on March 24, 2026

0623261325

Guest (Guest) on March 24, 2026

0623261325

Guest (Guest) on March 24, 2026

SMS

Lucy Mushi (Guest) on May 31, 2024

Wewe ni sababu ya tabasamu langu kila siku. Nakushukuru kwa kunipa nafasi ya kukupenda, na naahidi kukutunza kwa maisha yangu yote πŸ˜ŠπŸ’–. Kila tabasamu lako ni kama nuru mpya inayokuja maishani mwangu, na sitaki kamwe kupoteza mwanga huo. Nakupenda kwa namna isiyoelezeka, na najua kuwa tutakuwa na furaha na upendo wa milele πŸ’–πŸŒŸ.

Anna Mchome (Guest) on May 23, 2024

πŸ’“πŸ’‹πŸ˜

Monica Nyalandu (Guest) on March 18, 2024

Kila nyota inayoangaza usiku ni kumbukumbu ya jinsi gani ulivyo mwangaza wa maisha yangu. Bila wewe, giza lingetawala, lakini unapokuwa karibu, kila kitu kinapata maana mpya πŸŒ™βœ¨.

Victor Kimario (Guest) on March 17, 2024

πŸ˜πŸ˜˜πŸ’– Moyo wangu ni wako

Related Posts

Meseji ya kumbembeleza mpenzi wako aje kwako

Meseji ya kumbembeleza mpenzi wako aje kwako

mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioisha
hamu,nitakupa mwili wangu u... Read More

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema

Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,
fungua mikono yak... Read More

SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mpya

SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mpya

Mpenzi wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambo
muhimu matatu. Jambo la... Read More

Ujumbe wa kuasa kuhusu upendo wa kweli

Ujumbe wa kuasa kuhusu upendo wa kweli

Rafiki wa kweli hudhaminiwa kama familia
Pendo la kweli humaanisha, kupenda kwel... Read More

Meseji ya kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda

Meseji ya kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda

Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama
ya mapenzi kifungu cha... Read More

Ujumbe mzuri wa kimapenzi wa kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda kweli

Ujumbe mzuri wa kimapenzi wa kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda kweli

"Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napenda
kuwa kitu kwa mtu.na mt... Read More

SMS ya kumtumia mpenzi wako usiku

SMS ya kumtumia mpenzi wako usiku

Nenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkuta
amelala ucmuamshe mpige ... Read More

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako

Kumbuka kuwa wewe ni wangu
Kitulizo cha moyo wangu
Kwenye shida na raha
Read More

Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema

Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema

"""""Yule""""" Anipendezae lazima nimkumbuke"" ""nimpe salamu ""moyo"" wa... Read More

SMS Nzuri za Mapenzi

SMS Nzuri za Mapenzi

Ikiwa penzi langu kwako litakufa halitazikwa,ikiwa moyo
wangu ni mwandiko hautaf... Read More

SMS yakumtumia mtu unayempenda lakini hamko kwenye mahusiano

SMS yakumtumia mtu unayempenda lakini hamko kwenye mahusiano

macho huona na moyo hurdhia,ila co kila kitu jicho lionalo moyo hurdhia.lakn pind moy... Read More

SMS ya kumshukuru mpenzi wako na kumwambia kuwa unampenda

SMS ya kumshukuru mpenzi wako na kumwambia kuwa unampenda

nakupenda sana mpenzi wangu ,we ndo wa pekee mwenye kujua
furaha ya moyo wangu nikiwa na maj... Read More