Kwa nini uume unasimama mara nyingine wakati wa kuamka asubuhi?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ni kweli kwamba mara nyingi hali hii huwatokea wavulana na wanaume. Ndani ya uume kuna mishipa mingi ya damu na kama damu nyingi i i ikienda sehemu hii i ii inasababisha uume kuwa mgumu na kusimama. Mtu anapolala huwa ametulia na hivyo damu inaweza kusukumwa kuelekea kwenye uume. Kwa hiyo, msukumo wa damu ndani ya uume ni sababu pekee ya uume kusimama. Pia kujaa kwa kibofu cha mkojo huweza kusababisha uume kusimama wakati wa kuamka usingizini asubuhi.
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Related Posts
Kama mtaalamu wa masuala ya mahusiano, swali la iwapo watu wanapenda ngono ya muda mfupi au muda ...
Read More
Bangi hupunguza mawazo kwa muda mfupi kwani huleta hisia za furaha na utulivu. Lakini hata hivyo ...
Read More
Magonjwa mengi ya zinaa yana dawa za kutibu, kwa mfano: kisonono, kaswende, klamdia, kankroidi au...
Read More
Kuoana maana yake ni kuwajibika kwa maisha yako na mke au mume wako. Mara nyingi kuoana kunaambatana...
Read More
Nifanyeje Kujielewa na Kuelewa Thamani yangu katika Mahusiano ya Ngono? π
Asante kwa ku...
Read More
Jinsi ya Kuwa na Muda wa Kipekee na Msichana Wako
-
Tafuta Muda wa Kipekee
Kutafut...
Read More
Endapo rafiki au jamaa anaomba msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya unaweza kumsaidia kwa kum...
Read More
Kuheshimu tofauti za kijinsia wakati wa ngono/kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana. Kila mtu anap...
Read More
Kwa nini sio Sahihi Kufanya Ngono na Mtu Mmoja wa Marafiki? πΈπ
Jambo zuri siku zote ...
Read More
Ni vigumu kuelewa nini kinamfanya mtu aweze kubaka mwingine.
Ubakaji ni aina nyingine ya uka...
Read More
Habari za leo! Leo nataka kuzungumza juu ya jinsi ya kuonyesha ukarimu kwa msichana wako. Kama mw...
Read More
Katika kufanya mapenzi iwe mwanaume anayeweka kondomu uumeni au iwe mwanamke anayeshugulika kuwek...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!