Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema
Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako
Comments
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Edwin Ndambuki (Guest) on April 15, 2015
ππππ
Anna Sumari (Guest) on April 8, 2015
Nakupenda kwa dhati, na kila siku ninayoishi ni kwa ajili ya kukufanya uhisi furaha. Wewe ni sababu ya kila kitu kizuri maishani mwangu, na naahidi kukutunza daima π₯°π.