Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMSπŸ’ŒπŸ’•
☰
AckyShine

Ujumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako kuwa yeye tuu mdiye kakutawala

Featured Image

Fikra hutawala mtima wangu,
Kwa madhila yalojaa duniani,
Kwa muhali wa yanayojiri,
Kwa machweo na mawio,
Kwa totoro ama nuruni,
Nao moyo hukosa ukamilifu,
Kwa utashi wa zake hisia,
Zinipazo sababu kuu,
Ya upendo juu yako,
Ya kukufanya daima uwe,
Mawazoni mwangu.

Mawazoni ama ndotoni,
Daima wewe hutawala,
Kila asubuhi niamkapo,
Nao usiku nilalapo,
U chakula changu akilini,
Nalo tulizo langu moyoni,
Daima huuwaza upekee,
Wewe uliojaaliwa,
Na hivyo naihisi furaha,
Daima wewe uwapo,
Mawazoni mwangu.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Joy Wacera (Guest) on December 4, 2015

Kila usiku ninapoangalia nyota, naona uso wako. Wewe ni nyota yangu inayong\\\'aa zaidi, na sitaki kuishi bila mwanga wako 🌟😍.

Ruth Wanjiku (Guest) on September 18, 2015

Wewe ni mshirika wangu wa maisha, rafiki yangu wa dhati, na mpenzi wangu wa milele. Nakushukuru kwa kunipa nafasi ya kukupenda na kwa kunifanya nijihisi mwenye bahati πŸ‘­πŸ’ž. Wewe ni kila kitu nilichowahi kutamani, na najua kuwa maisha yetu yatakuwa yenye furaha na upendo wa milele. Nakupenda kwa namna isiyoelezeka, na natamani kuwa nawe kila siku ya maisha yangu πŸ’–πŸ’«.

John Mushi (Guest) on August 27, 2015

πŸ’“πŸ’•πŸ˜˜ Moyo wangu unadunda kwa ajili yako

Peter Mugendi (Guest) on August 15, 2015

Kila usiku ninapoangalia nyota, naona uso wako. Wewe ni nyota yangu inayong\\\'aa zaidi, na sitaki kuishi bila mwanga wako 🌟😍.

Robert Okello (Guest) on August 5, 2015

πŸ˜πŸ’–πŸ˜Š Wewe ni wangu

Victor Sokoine (Guest) on August 4, 2015

Wewe ni mshirika wangu wa maisha, rafiki yangu wa dhati, na mpenzi wangu wa milele. Nakushukuru kwa kunipa nafasi ya kukupenda na kwa kunifanya nijihisi mwenye bahati πŸ‘­πŸ’ž.

Janet Mwikali (Guest) on August 1, 2015

Nakupenda kwa dhati, na kila siku ninayoishi ni kwa ajili ya kukufanya uhisi furaha. Wewe ni sababu ya kila kitu kizuri maishani mwangu, na naahidi kukutunza daima πŸ₯°πŸ’. Kila pumzi ninayovuta ni ishara ya upendo wangu kwako, na sitaki kuacha kamwe kukupenda. Nakushukuru kwa kuwa nami, na najua kuwa maisha yetu yatakuwa yenye furaha na upendo wa milele πŸ’–πŸ’ž.

Josephine Nekesa (Guest) on July 20, 2015

πŸŒΉπŸ’–πŸ˜˜ Nakufikiria kila saa

Nasra (Guest) on July 8, 2015

Nakupenda kwa dhati, na kila siku ninayoishi ni kwa ajili ya kukufanya uhisi furaha. Wewe ni sababu ya kila kitu kizuri maishani mwangu, na naahidi kukutunza daima πŸ₯°πŸ’. Kila pumzi ninayovuta ni ishara ya upendo wangu kwako, na sitaki kuacha kamwe kukupenda. Nakushukuru kwa kuwa nami, na najua kuwa maisha yetu yatakuwa yenye furaha na upendo wa milele πŸ’–πŸ’ž.

Paul Ndomba (Guest) on June 5, 2015

❀️😍🌹 πŸ˜˜β€οΈπŸ’•

Bahati (Guest) on May 7, 2015

Nakutazama naona maisha yaliyojaa furaha na amani. Wewe ni zawadi ya kipekee ambayo siwezi kueleza jinsi ilivyo ya thamani, lakini najua kuwa sitawahi kuacha kuithamini 🎁😊. Kila siku niliyokuwa nawe ni baraka, na najua kuwa hatimaye tutafurahia maisha ya pamoja. Nakushukuru kwa kunifanya nijue maana ya furaha ya kweli. Wewe ni kila kitu nilichotamani maishani mwangu πŸ’–πŸ’«.

Grace Minja (Guest) on May 5, 2015

Kama moyo wangu ungeweza kuandika, ungeandika vitabu vingi kuhusu upendo wetu. Lakini hata vitabu hivyo vingeweza kushindwa kueleza jinsi ninavyokupenda kwa dhati πŸ“šβ€οΈ.

Sarah Achieng (Guest) on April 7, 2015

πŸ’–πŸŒΉπŸ˜˜ Wewe ni wa kipekee

Edward Lowassa (Guest) on April 5, 2015

πŸ˜˜β€οΈπŸ’• Utakuwa nami milele

Related Posts

Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako kumwambia kuwa hakuna anayemfikia yeye

Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako kumwambia kuwa hakuna anayemfikia yeye

Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo
mazuri kwa ujuzi wao, la... Read More

SMS nzuri sana ya Kimahaba

SMS nzuri sana ya Kimahaba

Nimekuapata! Kama unanichukia, nipige mshale, lakini
tafadhali si moyoni sababu ... Read More

Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi kumwambia kuwa yeye ni mmoja tuu katika maisha yako

Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi kumwambia kuwa yeye ni mmoja tuu katika maisha yako

Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7
katika wiki, masaa 24... Read More

SMS ya kumsihi mpenzi wako asikuache

SMS ya kumsihi mpenzi wako asikuache

Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache... Read More

Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss

Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss

Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndoto... Read More

SMS kali ya kumtumia mpenzi wako usiku

SMS kali ya kumtumia mpenzi wako usiku

Ukilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Ku... Read More

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako

Kumbuka kuwa wewe ni wangu
Kitulizo cha moyo wangu
Kwenye shida na raha
Read More

Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako ni wa thamani kwako kwa hiyo akikuacha atakuumiza

Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako ni wa thamani kwako kwa hiyo akikuacha atakuumiza

NakupΓ©ndΓ€ mpΓ¨nzi wΓ¨wΓ¨ ΓΉnΓ₯umuhimu mkubwa kwenye maisha
yangu kwani ukiniac... Read More

Meseji ya kumtumia mpenzi wako anapoonyesha kukupenda

Meseji ya kumtumia mpenzi wako anapoonyesha kukupenda

Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langu
nakuahidi utafaidi utamu wa ... Read More

Meseji ya kumtumia dia wako kumuonyesha jinsi unavyompenda

Meseji ya kumtumia dia wako kumuonyesha jinsi unavyompenda

ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na
liku2miwa vbaya halna maana w... Read More

Ujumbe mtamu wa mapenzi

Ujumbe mtamu wa mapenzi

Pendo la kweli ni hisia zilizomo moyoni ambazo sauyi yake haisikiki isipokuwa kwa aku... Read More

Ujumbe wa mapenzi kwa umpendaye kwa dhati

Ujumbe wa mapenzi kwa umpendaye kwa dhati

Nakupenda u... Read More