Updated at: 2023-04-29 22:52:30 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
STORY ZA WASICHANA KTK SIM
Mary… Hallow mpenzii Lily…. Niambie my dear Mary..Pouwaa za siku jamani Lily…Nzuri rafiki Yangu wa damu Mary…Jioni nakuja kwako tule Na kunywa japo wine wanguu Lily…Nakusubiri kwa hamuu mpenziiii
BAADA YA KUKATA SIMU…KILA MMOJA ANAWAZA
Lily…Huyu mchawi wa kike Leo anataka kuja kwangu wala hanikuti. Mary..Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyu kahaba eti nakusubir Kwa hamuu nani aende!!!
STORY ZA WAVULANA KATIKA SIMU
John…Niaje we mbwaa Sam…Pouwa kichaa wanguu John..Upo wap mpumbavu wewe Sam…Niko hom, we fala Uko wap? John..Baadae nakuibukia jambaz langu tukale bata Sawa… Pouwaa we ms**nge nakusubiri
BAADA YA KUKATA SIMU…KILA MMOJA ANAWAZA
John…Dah baadae nikakae na mwanangu Sam sijamuona long time Sam…John bwana akiwa Na pesa lazima anitafute mwanaeee.
FUNZO..
Baadhi ya Wasichana hujifanya wanapendana Kwa maneno lkn ni Kwa nje tu!! lkn WANACHUKIANA WAVULANA unaweza Kudhani hawapendani Kwa Maneno lkn WANAPENDANA..
Mpe TANO mchizi wako kudumisha upendo wetu wavulana… High 👊👊👊👊👊 boys
Updated at: 2023-04-29 22:52:23 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
1.Mwenye mpira Lazima acheze ata kama hajui mpira 2.Dogo mnene Lazima awe golikipa 3.Mwenye mpira ataamua nan acheze na nan asicheze
4.kama haujashiriki kufuma mpira unaweza ucpate namba 5.Ukichaguliwa mwishon ujue uwezo wako ni mdogo kuliko wote 6.Mwenye mpira akikaclika mpira umeisha 7.Inaruhusiwa kubadili golikipa kama ikitokea penat na baada ya apo ataendelea kudaka yule yule 8.Mechi itaisha pale giza linapoingia 9.wale ambao wamekosa namba kazi yao ni kufata mpira ukitoka 10.yule mtaalam wa soka {KM MIMI } huwa hakoc namba ata cku moja! Ukiikumbuka lazima utabasam!
Updated at: 2024-05-25 16:58:28 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jumapili baada ya kutoka KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?
Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
Kilichotokea baada ya polisi wa kibongo kukutana na mwizi mzungu
POLISI KAKAMATA MZUNGU 'yestaday I saw u at ze maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi) when u saw me u started 2 six six.(uliponiona ulianza ku-sitasita) u ran n decided 2 plant a car.
Updated at: 2024-05-25 18:03:14 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
POLISI KAKAMATA MZUNGU 'yestaday I saw u at ze maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi) when u saw me u started 2 six six.(uliponiona ulianza ku-sitasita) u ran n decided 2 plant a car.(ulikimbia na ukaamua kupanda gari) zen u pot-cry me through ze window.(kisha ukanichungulia dirishani) now sleep down n snake well b4 I cut u a millet.(sasa lala chini kisha nyooka vizuri kabla sijakukata mtama) Chezea lugha wewe..!!!
Hii ndio maana ya Matatizo, usiombee hili likukute
Updated at: 2024-05-25 16:53:58 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Matatizo ni nini???
`Matatizo ni pale unapokuwa umefika ukweni usiku na haja kubwa ikakubana na hukuwa unajua choo kilipo, ukatoka nje na kujisaidia kwenye majani kumbe ni mboga asubuhi ukasikia mama mkwe anasema kuna mjinga kajisaidia kwenye mboga na kaangusha pochi yake hapohapo haa! Vile unajisachi pochi hamna na kulikuwa na passport,vitambulisho, kadi ya benki, pesa zaidi ya laki 2 na nusu, funguo za nyumba yako, ` 🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒