Baada ya kupanda daladala aina ya DSM kutoka Mbagala chalambe mpaka Mwenge na kulipa sh 500.Masai akachukua tax wakati wa kurudi.walipofika sasa shughuli ilikuwa hivi.
Masai: we dureva? Naulisa Ng'ombe na mbusi ipi ngali? Dereva: Ni ng'ombe ghali Masai.
Updated at: 2024-05-25 18:13:30 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Baada ya kupanda daladala aina ya DSM kutoka Mbagala chalambe mpaka Mwenge na kulipa sh 500.Masai akachukua tax wakati wa kurudi.walipofika sasa shughuli ilikuwa hivi.
Masai: we dureva? Naulisa Ng'ombe na mbusi ipi ngali? Dereva: Ni ng'ombe ghali Masai. Masai: kwanini Ng'ombe ngali? Dereva: kwa sababu ni mkubwa zaidi ya mbuzi Masai: umepata..na mbusi na kuku ipi ngali Dereva: ni mbuzi kwa sababu nae ni mkubwa kuliko kuku. Masai: Umepata.. Masai: sasa me nimekwenda kule mwenge kwa ngali kubwa nikalitoa sh. 500 hii yko ndogo unasema nikupe 40,000 wewe acha wizi.. Nitakupa 250 Tu..wee acha lbia moraniβ¦!!!
Updated at: 2024-05-25 16:57:28 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna jamaa alifutwa kaziβ¦
Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlango wa mbeleβ¦ Ikawa hvβ¦ boss: _mbona waja kunya kwangu?_ jamaa: _nataka kukuonesha kuwa silali njaa_ πππππππππππππππππ
Updated at: 2024-05-25 17:46:22 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mtalii: Do you have vegetables here. Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa. Waiter: Vijimeza vidogo hatuna. Mtafsiri: No sir, they don't have. Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs. Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto. Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa hapa. Mtafsiri: They don't cook here Mtalii: What type of snacks do you have here. Mtafsiri: Aina ngapi ya nyoka mnao hapa, Waiter: We bwana we hapa hatupiki aina yeyote ya nyoka, mwache akale nyumbani kwao. Mtafsiri: They don't cook any type of snacks here, maybe you can go back and eat at home. Mtalii: OK, at least give us a cocktail juice. Mtafsiri: OK, tupatie hata juisi ya mkia wa jogoo. Waiter: Hebu tokeni na bangi zenu hapa, tena sasa hivi kabla sijakasirika. Mtafsiri: Lets get out of here ππππππ Usicheke pekeyako