Updated at: 2024-05-25 17:45:32 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu?
Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake
Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!! Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:- ''YEAH NI TEMBA hapa au
Updated at: 2024-05-25 18:07:14 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!! Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:- ''YEAH NI TEMBA hapa au YEAH NI CHEGE hapaβ¦!!!
Yeye akasema: "YEAH NIKINYA HAPAβ¦!!!" Watu wakapiga kelele ''UTAZOAAA'' mwenyewe bwenge wee
JE, WEWE UNGEJITAMBULISHAJE NAITAJI JIBU LAKO TUONEβ₯
Updated at: 2024-05-25 17:07:11 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nimetoka kufanya interview wakaniuliza status yangu nikaawabia status yangu ni Hey there! Iam using watsApp, wameniambia nitoke nje I think wanajadiliana namna ya kunipangia kituo cha kazi
Hii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu
Updated at: 2024-05-25 17:07:59 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nimeamka asubuhi nikiwa na elfu 1 tu mfukoni, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi nipate kunywa chai. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya AZAM kama Simba vile. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti wakati anafika yanapouzwa maandazi akagundua kuwa kapoteza hela yangu, hivyo akaanza kurudi, ila bahati nzuri wakati anarudi ili kuja kunitaarifu kuhusu kupotea kwa hela yangu, njiani akaokota elfu 1 ambayo kuna mtu alipoteza ndio akaamua kununua askrimuβ¦.kwa sasa niko polisi na mtoto yuko dispensari na mamakeπππππππ
Updated at: 2024-05-25 18:10:22 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mama mdaku alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini? Uzalendo ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila siku mchungaji anakuja kwako, vipi anakuja kukuombea?" Akajibiwa "Nyoo, umbea tu! Mbona kwako kila siku anakuja mwanajeshi kuna vita! chefuuuu π³π³π³π³π³