Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
AckyShine

Kisa cha mzaramo na mchaga

Featured Image

MZARAMO V/S MCHAGA.
Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote
kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki
yako nakukuongeza laki nyingine.
MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.
MZARAMO: "unaumwa nini?"
MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.."
MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.."
Mchaga akatoa.
MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.."
MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?"
MZARAMO: "Umepona karibu tena.."
Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau
sanaaaaa.."
MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..'
MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..'
MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.."
MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?"
MZARAMO: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.

😄😄😄😄😁😁😁😁😁😁

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Mariam (Guest) on April 5, 2015

Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! 🤣

Related Posts

Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake

Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake

Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg k... Read More

Kwa nini vitu vunavyoanza na "K" ni vitamu sana?

Kwa nini vitu vunavyoanza na "K" ni vitamu sana?

Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana." Nikashtuka, "Astaghafilulah we... Read More
Nimeitoa sehemu

Nimeitoa sehemu

If…
99 is: Ninety nine,
88 is: Eighty eight,
77 is: Seventy seven,
66 is: S... Read More

Mchaga mmoja kamtoa mke wake out mambo yakawa hivi

Mchaga mmoja kamtoa mke wake out mambo yakawa hivi

*Mchaga mmoja kamtoa mke wake out.*

*mchaga* : _chips yai bei gani?_

*mhudumu*: _elfu... Read More

Angalia nilivyoingizwa mjini na ujanja wangu wote

Angalia nilivyoingizwa mjini na ujanja wangu wote

Ndio nilikuwa nimeshuka kwenye basi la SAI BABA pale Ubungo, nina Begi kubwa Mgongoni na begi Dog... Read More

Cheki hawa wachungaji

Cheki hawa wachungaji

CHEKA KIDOGO

Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuo... Read More

Mambo ya pesa haya..

Mambo ya pesa haya..

MAMBO YA FEDHA AISEE……. Kuna jamaa alipewa shilingi 983628763600/= …acha uvivu, najua hujas... Read More

Cheki masifa yalivyomponza huyu, Sifa nyingine ni mbaya jamani

Cheki masifa yalivyomponza huyu, Sifa nyingine ni mbaya jamani

Mbongo, Mganda, na Mkenya walikamatwa na makosa Uchina. Wakaambiwa adhabu ni ama kifo cha moja kwa ... Read More
Huyu kashauzwa!! Angalia kilichomkuta sasa

Huyu kashauzwa!! Angalia kilichomkuta sasa

Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize…

Kaka, mbona u mnyonge h... Read More

SMS Mafua ndiyo hii

SMS Mafua ndiyo hii

JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?
Cheki hii hapa……..


"Mabo dugu yagu mziba? Bwa... Read More

Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!

Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!

JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo. Mke... Read More
Wasichana wafupi wanafurahisha

Wasichana wafupi wanafurahisha

Wasichana wafupi wananifurahisha sana…. Yaan siku ya Valentine, wakivaa magauni mekund... Read More