Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Mke anamwambia mme wake kuwa angetamani mme wake awe tajiri cheki alichojibiwa

Featured Image
238 Comments

Raha ya kuoa kijijini

Featured Image
237 Comments

Huyu mchaga kazidi sasa, angalia anavyomfanya huyu mbuzi

Featured Image
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.
237 Comments

Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa

Featured Image
236 Comments

Angalia huyu house girl wa mzungu alichokifanya na anachokisema

Featured Image
236 Comments

Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake

Featured Image
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya kimahaba
236 Comments

Angalia hawa kina mama, ni shida..!

Featured Image
236 Comments

Kwa nini vitu vunavyoanza na "K" ni vitamu sana?

Featured Image
Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana." Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!"
236 Comments

Hapa itakuaje?

Featured Image
237 Comments

Google, Facebook, WhatsApp, Internet na Umeme nani zaidi?

Featured Image
236 Comments