Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Mchumba anayefaa kufunga naye ndoa

Featured Image

Maisha ya ndoa yanahitaji maandalizi mazuri, kama waswahili wasemavyo nyote njema huonekana asubuhi, asubuhi ya maisha ya ndoa ni kipindi cha uchumba. Ndugu zangu, kipindi cha uchumba ni lazima tukitumie vizuri na kwa makini na kila jambo, ukitambua hakuna jambo dogo wa kubwa, kila jambo uliangalie katika mapana yake na katika uzito wake.

Hivyo basi huyo anayetaka kuwa na wewe jiulize maswali haya juu yake;

1. Je anamtambua Mungu na kuishi maisa ya kumpendeza Mungu, katika matendo yake na maneno yake?
2. Je huyo mchumba wako yupo tayari kukusaidia wewe kufikia malengo yako katika maisha?
3. Je huyo mchumba wako anakuheshimu na kukusikiliza au mtu anayekudharau?
4. Je mchumba wako anakushirikisha kila jambo kuhusu maisha yake na pia kuwa na utayari wa kupokea mawazo yako?
5. Je mchumba wako ana mawasiliano na wewe kwa kiasi kikubwa na kukujulia hali mara kwa mara?
6. Je mchumba wako yupo tayari kujitoa kwa ajili yako kwa hali na mali ili kufikia malengo yenu ya pamoja?
7. Je unatambua mazuri na mapungufu ya mchumba wako, hasa tukitambua hakuna mtu ambaye ni mkamilifu na namna gani mnasaidiana katika madhaifu yenu
8. Je mchumba wako ni msikivu au ni mtu ambaye anapoamua jambo ndilo analotaka hawezi kukusikiliza wala kupokea mapendekezo yako?
9. Je mchumba wako ni mwaminifu na anajitunza kwa ajili yako wewe tu au ni mtu ambaye haeleweki heleweki?
10. Je mchumba wako yupo tayari kukusamehe unapomkosea au kuomba msamaha anapokosea, au ni mtu mbishi
Haya ni mambo machache ambayo ni lazima kuyatafakari kuhu mchumba wako kama anakufaa kuunga naye NDOA? Usikurupuke.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Kujifunza Anatomia: Umuhimu wa Elimu ya Mwili katika Kufanya Mapenzi

Kujifunza Anatomia: Umuhimu wa Elimu ya Mwili katika Kufanya Mapenzi

Kujifunza anatomia ni muhimu sana katika kufanya mapenzi. Elimu hii inawawezesha watu kujua miili... Read More

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya kujenga na kudumisha nyumba

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya kujenga na kudumisha nyumba

Jinsi ya Kuwasiliana na Mpenzi wako kuhusu Masuala ya Kujenga na Kudumisha Nyumba

Nyumba n... Read More

Mwanamme: Namna ya Kutunza Familia, Kukaa na Mke na Kulea watoto wa kike na wa kiume inavyotakiwa

Mwanamme: Namna ya Kutunza Familia, Kukaa na Mke na Kulea watoto wa kike na wa kiume inavyotakiwa

Read More
Jinsi ya Kuwa Msikivu: Sanaa ya Kusikiliza katika Mahusiano ya Familia

Jinsi ya Kuwa Msikivu: Sanaa ya Kusikiliza katika Mahusiano ya Familia

Kuwa msikivu ni moja ya sanaa muhimu sana katika mahusiano ya familia. Kuwa msikivu kunaweza kusa... Read More

Jinsi ya Kujenga Ushirikiano wenye Furaha na Matarajio ya Muda Mrefu katika Mahusiano

Jinsi ya Kujenga Ushirikiano wenye Furaha na Matarajio ya Muda Mrefu katika Mahusiano

Uhusiano wa kimapenzi ni kitu kizuri sana! Lakini, ili uhusiano uweze kudumu kwa muda mrefu ni la... Read More

Kujenga Ushawishi wa Wazazi katika Mahusiano ya Kifamilia

Kujenga Ushawishi wa Wazazi katika Mahusiano ya Kifamilia

Jambo rafiki! Leo tutazungumzia juu ya kujenga ushawishi wa wazazi katika mahusiano ya kifamilia.... Read More

Njia za Kupunguza Mazoea ya Kutowajali katika Familia: Kuweka Thamani ya Upendo na Ukarimu

Njia za Kupunguza Mazoea ya Kutowajali katika Familia: Kuweka Thamani ya Upendo na Ukarimu

Kupunguza mazoea ya kutokujali katika familia ni jambo muhimu sana katika kuhakikisha kuwa kila m... Read More

Jinsi ya kuwasiliana kwa ufanisi na mpenzi wako

Jinsi ya kuwasiliana kwa ufanisi na mpenzi wako

Kuwasiliana kwa ufanisi na mpenzi wako ni muhimu sana kwa uhusiano wa kudumu na wenye furaha. Hapa k... Read More
Je, kuna umuhimu wa kujadili haki na usawa katika uhusiano wa ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna umuhimu wa kujadili haki na usawa katika uhusiano wa ngono/kufanya mapenzi?

Kila siku, tunaishi katika jamii ambayo ina maadili na kanuni za kufuata katika uhusiano wa ngono... Read More

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kifedha na Kujenga Malengo ya Fedha Pamoja

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kifedha na Kujenga Malengo ya Fedha Pamoja

Habari zenu wapenzi wasomaji, leo tutaangazia juu ya "Kuhamasisha Ushirikiano wa Kifedha na ... Read More

Kujenga Mazingira ya Upendo na Ukarimu katika Familia

Kujenga Mazingira ya Upendo na Ukarimu katika Familia

Karibu katika makala hii inayozungumzia jinsi ya kujenga mazingira ya upendo na ukarimu katika fa... Read More

Kujenga Kujiamini katika Kufanya Mapenzi: Jinsi ya Kukubali na Kufurahia Utu wako

Kujenga Kujiamini katika Kufanya Mapenzi: Jinsi ya Kukubali na Kufurahia Utu wako

  1. Kujenga kujiamini katika kufanya mapenzi ni muhimu sana kwa afya yetu ya kihisia na kim... Read More