Jinsi ya kupika Vileja Vya Tambi
Date: April 18, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Viambaupishi
Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2
Siagi 4 Vijiko vya supu
Maziwa (condensed) 300Ml
Lozi zilizokatwakatwa 1 kikombe
Zabibu kavu 1 Kikombe
Arki (essence) 1 Kijiko cha supu
Jinsi ya kuandaa na kupika
1) Weka karai kwenye moto kiasi
2) Tia siagi
3) Tia tambi uzikaange usiachie mkoni mpaka ziwe rangu ya dhahabu.
4) Weka lozi na zabibu huku unakoroga
5) Tia maziwa na huku unakoroga usiachie mkono.
6) Tia arki
7) Epua karai, tumia kijiko cha chai kwa kuchotea na utie kwenye kikombe cha kahawa nusu usikijaze.
8) Kipindue kwenye sahani utoe kileja.
9) Fanya hivyo mpaka umalize vyote.
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Related Posts
Mahitaji
Mchele (rice 1/2 kilo)
Maharage yaliyochemshwa (boiled red kidney beans 1 k...
Read More
VIAMBAUPISHI
Mchele - 3 vikombe
Nyama ya kusaga - 1 LB
Mchanganyiko wa Nafaka...
Read More
Kupika tambi ni kama ifuatavyo
VIAMBA UPISHI
Tambi pakti moja
Sukari ¾ kikom...
Read More
MAHITAJI
Unga - 3 Vikombe vya chai
Baking powder - 1 ½ Vijiko vya chai
Sukar...
Read More
Mahitaji
Mayai yaliochemshwa 4
Nyama ya kusaga robo kilo
Kitunguu swaum
Ta...
Read More
Mahitaji
Dagaa (dried anchovies packet 1)
Unga wa ugali (corn meal flour 1/4 kilo) (...
Read More
Mahitaji
Makongoro (miguu ya ng'ombe) kiasi
Limao 1 kubwa
Kitunguu swaum
T...
Read More
Mahitaji
Tango 1/2
Kitunguu 1/2
Cherry tomato 8
Lettice kiasi
Green o...
Read More
Mahitaji
Mihongo 3 - 4
Tui - 1000 ml
Chumvi - 1 kijiko cha chai
Kitungu...
Read More
VIPIMO:
Unga wa Visheti
Unga 4 Vikombe vya chai
Siagi 1 Kikombe cha chai
<...
Read More
Mahitaji
Ndizi mbichi 6
Nyama ya ng'ombe (nusu kilo)
Viazi mviringo 2
Kitu...
Read More
Soda ni kiburudisho ambacho si muhimu sana kwa afya.
Aina nyingi za soda zina kafeini ambay...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!