moyo upendao kwa dhati.
haujalish ni kababu au chapat.
n wng wa upendo wenye tarakimu kama somo la hisabati.
kumpata akupandae kwa dhati pia hyo n bahati.
nimfikiriaye kwa sasa nahc anaupendo wa dhati.
Nitashukuru anikaribishe naye nimuonyeshe upendo wa dhat.
Huu ni ukaribisho wa penzi la dhati.
wenye wing wa furaha na Lenye pendo la kitanashati.
SMS ya kumshawishi mtu kuwa una upendo wa dhati
Comments
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Lydia Mahiga (Guest) on June 25, 2015
πππ Nakupenda zaidi ya maneno
Umi (Guest) on June 12, 2015
Kila mara ninapokushika mkono, najua kuwa niko mahali salama zaidi duniani. Wewe ni kimbilio langu, na nataka tuwe pamoja milele π‘οΈπ.
David Kawawa (Guest) on May 13, 2015
Kila usiku unapofunga macho yako, ninatuma maombi yangu ya upendo kwako. Nakutakia ndoto tamu, ndoto ambazo zinaakisi hisia zangu za dhati kwako, na ambazo zitakufanya uhisi furaha ya kweli π π€.
Majid (Guest) on May 10, 2015
Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu; wewe ni sehemu ya roho yangu. Upendo wako ni zawadi ya thamani ambayo imenifanya nijue maana halisi ya maisha ππ€.
Victor Kimario (Guest) on May 1, 2015
ππππ Kila dakika nawe ni ya thamani
Jane Malecela (Guest) on May 1, 2015
ππβ€οΈ
Sarah Karani (Guest) on April 12, 2015
πππ Moyo wangu ni wako