SALA KWA MTAKATIFU YUDA TADEI
Date: December 19, 2015
Author: DIN - Melkisedeck Leon Shine
Mtakatifu Yuda Tadei,/ Mtume Mtakatifu,/ mtumishi mwaminifu na rafiki wa Yesu./ Jina la yule msaliti aliyemwuza Yesu/ limewafanya wengi wakusahau./ Walakini Kanisa zima linakuheshimu/ na kukuomba kama Msaidizi katika mashaka makubwa,/ na katika mambo yasiyo na matumaini tena./
Uniombee mimi mnyonge./ Ninaomba utumie uwezo ule uliojaliwa/ wa kuleta upesi msaada kwa watu walioukosa./ Unisaidie sasa katika mahitaji yangu,/ ili nipate kitulizo na msaada wa mbinguni/ katika lazima zangu,/ masumbuko na mateso,/ hasa/ (taja shida yako)./ Pia ili niweze kumsifu Mungu nawe na wateule wote milele./
Mtakatifu Yuda Tadei,/ utuombee,/ na uwaombee watu wote wanaokuheshimu na kukuomba msaada./
Moyo Mtakatifu wa Yesu,/ Rafiki mpenzi wa Yuda Tadei,/ nakutumainia./
(Mwisho Sali: Baba yetu (x3), Salamu Maria (x3) na Atukuzwe(x3).
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Related Posts
Ufuatao ni mtiririko wa Novena ya Roho Mtakatifu kwa siku zote tisa.
Kusali nov...
Read More
Ee Moyo Mtakatifu sana wa Yesu, chemchemi ya kila baraka, ninakuabudu, ninakupenda, na kwa majuto...
Read More
Tusali kila siku sala hizi, angalau kwa mwezi wa saba (Julai) kila mwaka, mwezi wa kuhesh...
Read More
Nakusikitikia sana Mama Mtakatifu Maria kwa sababu ya ukiwa wako mkuu. Uchungu wako ulikuwa mkubw...
Read More
Yesu, Mungu wangu mpenzi,/ upo hapa katika Altare mbele yangu;/ na mimi napiga magoti mbele yako....
Read More
Malaika wa Mungu Mlinzi wangu mpenzi,
Ambaye upendo wake unanifanya niwepo hapa,
Uwe na...
Read More
Salamu Maria
Umejaa neema
Bwana yu nawe
Umebarikiwa kuliko wanawake wote
Na Y...
Read More
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie
Kristo utuhurumie Kristo utuhurumie
Bwana utuhurumie ...
Read More
Ee Mama mbarikiwa na Bikira mwenye uchungu, Malkia wa Mashahidi, uliyesimama chini ya msalaba na ...
Read More
Read More
Ee Yesu, kupitia mikono safi ya Bikira Maria, na kwa maungano na sadaka yako kuu, ninakutolea sal...
Read More
Kwa nguvu zangu zote za moyo wangu/ ninakuabudu ee Moyo Mtakatifu/ na Mwabudiwa sana,/ Moyo Mtaka...
Read More
Victor Mwalimu (Guest) on July 13, 2017
Neema ya Mungu inatosha kwako
Anthony Kariuki (Guest) on June 30, 2017
ππ Mungu akujalie amani
Daniel Obura (Guest) on June 6, 2017
Tumaini ni nanga ya roho
Esther Nyambura (Guest) on May 16, 2017
Baraka kwako na familia yako.
Joyce Mussa (Guest) on January 11, 2017
πβ€οΈβ¨ Asante Mungu kwa kila kitu
Esther Nyambura (Guest) on December 4, 2016
πππ
Paul Kamau (Guest) on October 5, 2016
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
Josephine Nekesa (Guest) on October 3, 2016
πππ Mungu akufunike na upendo
Catherine Naliaka (Guest) on September 16, 2016
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
Thomas Mtaki (Guest) on September 6, 2016
πβ€οΈ Mungu ni mkombozi
Joyce Nkya (Guest) on June 17, 2016
Kwa Mungu, yote yanawezekana
Sarah Mbise (Guest) on June 1, 2016
ππ Mungu wetu asifiwe
John Kamande (Guest) on April 19, 2016
Imani inaweza kusogeza milima
Peter Mbise (Guest) on April 6, 2016
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
Anna Kibwana (Guest) on February 25, 2016
πβ€οΈ Mungu akubariki
Carol Nyakio (Guest) on February 16, 2016
Rehema hushinda hukumu
James Mduma (Guest) on February 10, 2016
Nguvu hutoka kwa Bwana
Grace Wairimu (Guest) on December 17, 2015
Mungu ni mwema, wakati wote!
Rose Amukowa (Guest) on November 27, 2015
Mwamini Bwana; anajua njia
Francis Njeru (Guest) on July 27, 2015
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
Andrew Mchome (Guest) on July 18, 2015
ππ Nakusihi Mungu
Philip Nyaga (Guest) on June 21, 2015
Endelea kuwa na imani!
Kenneth Murithi (Guest) on April 19, 2015
Rehema zake hudumu milele