Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu utunzaji wa mazingira?

Featured Image
Hata kama unafunga siku ya Ijumaa, usisahau kuacha mazingira yako safi! Kanisa Katoliki linasisitiza juu ya utunzaji wa mazingira kwa ajili ya vizazi vijavyo. Fanya sehemu yako kwa kuhakikisha mazingira yako ni safi na salama kwa wote.
50 Comments

Kwa nini tarehe ya Pasaka hubadilika

Featured Image

KALENDA za mwanzo ziliutumia mwezi wa
angani kama kipimo cha muda. Ziliitwa
“Lunar calender” au Kalenda-Mwezi. Tarehe 1
ya Mwezi ilikuwa ni siku ulipoandama yaani
Mwezi-Mdogo (Crescent Moon).
Mwezi unapofika siku ya 15 unakuwa
umefikia ukubwa wa juu na huitwa Mwezi-
Mkubwa (Full Moon). Hivyo kwa kalenda ile
tarehe 15 ilikuwa ni siku ya Mwezi-Mkubwa.
Mwaka 45KK, Julius Caesar alitangaza
kalenda mpya ikaitwa “Julian Calender” iwe
na siku 365. Wakati huo ikijulikana kwamba
jua huzunguka kwa siku 365.25. Hivyo pengo
la kalenda na mzunguko likabaki robo siku.

50 Comments