Updated at: 2024-05-25 15:24:28 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbal nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!
Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi kumwambia kuwa yeye ni mmoja tuu katika maisha yako
Updated at: 2024-05-25 15:36:34 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa…… lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.
Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa wewe ndiye unayempenda wa kwanza
Updated at: 2024-05-25 15:23:10 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
♥Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamu kusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Huruma huoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosa husameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kila jambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendo huambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njia za mafanikio huonyeshana!!! Mbele ya madui hulindana!!!nai ni mmoja katia ya wakupendao,hakika ni mm wa kwanza kwanza wengine wanafata♥
SMS ya kumsisitiza mpenzi wako asiende kwa mwingine
Updated at: 2024-05-25 15:26:03 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
chekecho la huba ,toka uvunguni mwa moyo wangu navika moyo wako taji la upendo,na kupulizia marashi ya hubaa ,usimpe mwingine mi ndiye ninayejua kulea.