SMS kali sana yenye ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Updated at: 2024-05-25 15:25:42 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.
Updated at: 2024-05-25 15:22:39 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"
SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana
Updated at: 2024-05-25 15:22:56 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia, hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosa katika maisha yangu.
SMS ya kumwambia mpenzi wako unavyompenda na hautarajii kumsaliti
Updated at: 2024-05-25 15:23:43 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno hayapo kwake, nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo tayar kumsaliti na lbd aanze yeye