Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako umpendaye sana
Updated at: 2024-05-25 15:22:57 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.
SMS ya mapenzi ya mahaba kwa mpenzi wako aliyeko mbali
Updated at: 2024-05-25 15:25:43 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha, mimi si ‘Supamani’ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi nyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo? Pokea mapenzi yangu japo uko mbali.
Updated at: 2024-05-25 15:26:09 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu.
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako ni mrembo na kumsihi asikuache
Updated at: 2024-05-25 15:22:35 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
mpnz wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mti usiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua ww ni mrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwani na kupenda xana tabua hilo mpnz wangu