Ujumbe mzuri wa SMS wa usiku mwema kwa mpenzi wako umpendaye
Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa upendo na kiherehere cha kuabudu.
Updated at: 2024-05-25 15:37:22 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa upendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwema mpenzi
Updated at: 2024-05-25 15:27:00 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
UPENDO ni ubeti wa maneno yaliyo tamkwa mpaka sasa hajulikan nani alietunga! PENZI ni hadithi iliyocmuliwa lakin mpaka sasa hafahamik nan muhucka, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika muda wote huhis anasalitiwa. PENZI Ni kama jengo lilokosa nguzo muda wowote unahic litadondoka… Ucnielewe vibaya ckukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wap UMEPENDA au UMEPENDWA!je eti nikweli kumpenda asie kupenda ni sawa na kusubiri boti airport
SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako wa kike kumsifia na kumwambia unavyompenda
Updated at: 2024-05-25 15:26:23 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumu kufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele kwa kuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye na mashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhat na mapenz mazito zito,
Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako penzi lake ni tamu sana
Updated at: 2024-05-25 15:36:38 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wa penzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazi kwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenye kachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenye mkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani