Updated at: 2024-05-25 17:58:49 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ndio hizi sasa
1.Hicho ndicho chuo chako usiwe na chuo kingine ila hicho. 2.Usilitaje bure jna la chuo chako mana utawaumiza wengine. 3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na kuiheshimu. 4.Waheshimu tcu, bodi ya mkopo na uongoz wa chuo ili upate kuendelea kuwepo chuon. 5.Usisapu 6.Usidisko 7.Usitumie mkopo ovyo. 8.Usitaman chuo cha mwenzio 9.Usitamani fakat ya mwenzio 10. Usitaman bumu lake wala chochote alichonacho. hahaha chezea chuo weye!
Updated at: 2024-05-25 17:03:18 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mama mwenye nyumba anajipodoa anashinda saloon kujipodoa lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemekaππππππππππππππ huu mchezo hautaki mekapu
Updated at: 2024-05-25 17:15:38 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna mchepuko nilimtumia nauli jana ili aje,.kwang sasa leo kaniambia eti " nimesahau ile line yenye M-pesa home plz nitumie tena kwa tigo mpenz""!! Me nikajifanya chizi nikatuma Kule kule kwenye voda (aliosema kaacha home) Nikatuma huko message ivi "nikuongezee Sh. Ngapi tena mpenz..!!" Akanjbu "elfu 20,000 tu mpenzi" Mtuhurumie jamani πππ
Siku moja katika pitapita zangu nikakutana na mtoto mmoja mkali baraa yaani ni mzuri sanaaaa, moyo ukanituma nimuimbishe mtoto akakubali kwamba nitafute siku tukae tuongee vizuri akasema nimpe namba yangu ya simu.
Updated at: 2024-05-25 18:13:08 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Siku moja katika pitapita zangu nikakutana na mtoto mmoja mkali balaa yaani ni mzuri sanaaaa, moyo ukanituma nimuimbishe mtoto akakubali kwamba nitafute siku tukae tuongee vizuri akasema nimpe namba yangu ya simu.
Β
Ebwana si akatoa simu hiyo inauzwa laki sita mimi hapa nina kisimu cha tochi tena nimefunga na rababendi Je, wewe ungeendelea kumtajia namba zako!!!
Updated at: 2024-05-25 17:01:17 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nipo kwenye daladala siti ya nyuma kabisa nimekaa na mrembo mzurii.sasa nikawa namtongoza kwa sauti ya chini sana watu wengine wasiskie,akawa hanijibu kitu,mala gafra akapayuka kwanguvu na kwa sauti ya juu iliyomshtua kila mtu.β β"Nimesema stakii,stakii tena unikome"βπ³π³
βNami nikamjibu kwa sauti ya juu vile vileβ β"Kama umejamba nisikwambie bhanaa,kwani ww nani?"ββΉ
πππππππππ ββMIMI SIO MTU WA MCHEZO MCHEZOβ Sipendag ujuinga mim
Angalia alichokifanya huyu mtu baada ya kuokota wallet ya thamani
Updated at: 2024-05-25 17:15:08 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki7, ATM card na karatasi yenye PIN ya ATM card na kijimfuko cha dhahabu" Mtangazaji akasema, kwa hiyo ungependa kumrudishia mwenyewe kama anakusikiliza? Jamaa akajibu; hapana, ninaomba kumuombea dedication wimbo wa R.Kelly usemao "U SAVED ME" umfikie popote alipo!!