Updated at: 2024-05-25 17:59:43 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Badala yakupika PILAU tutapika TAMBI kwenye Xmas maana tutakua tumeokoa sh.15,000/= Vitunguu swaumu 2000, Vitunguu maji 1000, hiliki 1000, Magome 1000, Michele wa 2000, Soda 3000, Nyama 5000 . Fedha hizi zitatumika kununua mfuko wa cement ili tuanze kujaza kibubu cha ujenzi wa nyumba badala ya kupanga. Karibuni saana maji ya kunywa tumechemsha ndoo nzima.
Updated at: 2024-05-25 17:09:54 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa: Mambo honey, upo ok? Mrembo: Sipo ok my dear Jamaa: Una tatizo gani baby? Mrembo: Nimetoka hospitali kupima, nna mimba. Jamaa: Weeh usiniletee balaa hiyo mimba imeingiaje wakati huwa tunatumia kinga? MremboΒ Kwani nani kakwambia mimba ni yako, hebu tuliza mshono huo.
Updated at: 2024-05-25 17:52:24 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana".π΄πππ MKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.π΅π· MUME: Akamuuliza kwa hamaki,"Sasa hapo unatafuta nini?".π΄π‘ MKE: "Sidiria yetu!!"ππ MUME: (kamfungia kabatini alafu kamwambia. "nipo chumbani , ")π΄π·π· ππππππ ππππππ