Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMS💌💕
AckyShine

Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu

Featured Image

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!

2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.

3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.

4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.

6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.

7. Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.

9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.

10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.

11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick

12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa uchi

13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi geti mnaingiza ndani

14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani.

15. Wewe ni mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya supu.

16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli.

17. Una chogo refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona.

18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia kwenye daladala konda anakwambia "abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Bangi si mchezo, Angalia kilichowakuta hawa

Bangi si mchezo, Angalia kilichowakuta hawa

Bangi si mchezo! Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo! Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujita... Read More
Huyu mke kwa kupenda hela! Cheki anachomwambia mume wake

Huyu mke kwa kupenda hela! Cheki anachomwambia mume wake

Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha! MKE; Vipi leo mbona mpole? MUME; Ofisi yetu imeungua ... Read More
Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya

Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya

Njeri: Roysambu ni ngapi?
Makanga: Roysambu ni moja tu. ... Read More

Maswali ya kijinga yakijibiwa vizuri

Maswali ya kijinga yakijibiwa vizuri

Haya ndiyo majibu mazuri😁😁👇👇👇👇👇👇👇👇

Q: Umenyoa nywele?

Read More

Mpenzi Akikuita Mamito, Mjibu Hivi

```html

Responding to Pet Names: A Guide to Healthy Relationships

Navigating the landsc... Read More

Ujinga wa ndoto ndio huu

Ujinga wa ndoto ndio huu

👉Ujinga wa ndoto ndiyo huu
••Utaota umeokota dolla ukiamka empty…
••Utaota... Read More

Wasichana wa leo

Wasichana wa leo

Jamaa yupo ndani ya Range rover yake mpya na msichana ambaye ni mpenzi wake.

#Jamaa: kuna s... Read More

Huu mchezo hautaki makeup

Huu mchezo hautaki makeup

Mama mwenye nyumba anajipodoa anashinda saloon kujipodoa lakini house girl hata mafuta us... Read More

Ulishawahi kupenda kwa namna hii??!!

Ulishawahi kupenda kwa namna hii??!!

Ushawai kumpenda dem na kumfia mazima kiasi kwmb anakwambia ye ana msela lkn we huelewi..unamkaz... Read More

Haya nayo ni maajabu mengine kwa wazazi wa mabinti

Haya nayo ni maajabu mengine kwa wazazi wa mabinti

BABA MWEUSI
MAMA MWEUSI

na ww walikuzaa mweusi lakini umefikisha miaka 20 umeanza kua ... Read More

Huyu mchungaji ni noma, cheki alichomwambia pedeshe

Huyu mchungaji ni noma, cheki alichomwambia pedeshe

Mchungaji kamfuata pedeshe moja maarufu kwa kumwaga pesa kwenye kumbi za muziki; MCHUNGAJI: Kijana, ... Read More
Kilichotokea Baada ya mlevi na mchungaji kukutana

Kilichotokea Baada ya mlevi na mchungaji kukutana

MCHUNGAJI; "Unakunywa bia!?
MLEVI; "Ndio.
MCHUNGAJI; "Kwa siku unakun... Read More