Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMS💌💕
☰
AckyShine

Kuwa na msimamo katika mahusiano

Featured Image

Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.

Jitu Mmeachana Miezi 6,Leo Linakutesti Lirudishe Majeshi,Na Wewe Ulivyo Kiazi,Upo-Upo Tu,Ina Maana Miezi Yote Hii Ulikuwa Umeganda Unasubiria Rehema Zake Ama?? Kurudia Matapishi Ya EX Ukitegemea Amebadilika Ni Sawa Na Kupika Sufuria La Makande Kwa Mshumaa,Utaambulia Masizi Tu..
.
Kipi Kipya Kakiona Kwako Hadi Arudi??Nini Kilimshinda Huko Nyuma Ambacho Leo Anakiweza Anataka Kurudi??Akafie Mbele Huko.
.
KUWA NA MSIMAMO,Ukisema Its Over Umaanishe,Sio Unakuwa Na Hisia Zinapepea Tu Kama Bendera Ya Katibu Kata Wa Kishumundu… Mtu Kama Hajielewi Achana Nae,Siku Akijirudisha Mwambie Kwanza Akapimwe Minyoo Ya Kinyarwanda.
.
Umekazana Kuwaambia Marafiki Zako 'Siku Hizi Hakuna Mapenzi Ya Dhati Watu Wote Majanga Tu',Nani Amekwambia Hayapo?? Yapo Sana Ila Wewe Unatumia Mbinu Tofauti..
.
Huwezi Kusoma Degree Ya Law Halafu U-Apply Kazi Ya Chief Accountant Wa Bodi Ya Tumbaku…Kila Siku Utasingizia Balance Sheet Haina Jurisprudence..Lawyersl
Mmenielewa! Acha Kudate Watu Wasiojielewa,Usidate Kwa Sababu Uko Lonely,Usiwe Desperate Kuingia Mahusiano Kwa Sababu Shosti Zako Wanakusimulia Walivyopelekwa Ruwenzori Waterfalls..
.
Ingia Kwenye Mahusiano Pale Moyo Wako Ukiwa Tayari Na Mtu Uliyemfia Kihisia Na Amekuwa Approved Na Veins,Auricles,Na Aorta Za Moyo Wako Kwamba He/She Is Really The One.. Unadate Na Mtu Ambaye Mustakabali Wake Mwenyewe Haujui,Ukimuuliza Anataka Kuwa Wapi Ndani Ya Miaka 5 Ijayo Anakwambia Mungu Anajua Dont Worry,Halafu BBM Na Instagram Unajiita Baby Ake Mie Iam In Love..
Utaishia Kufua Boxer Hadi Kucha Zinukie Gololi! Mbwa Kamwe Hashughuliki Na Kesi Za Paka Kufungiwa Kabatini.Date The Right Person,With Right Reasons,In A Right Time Uone Kama Mapenzi Hayapo…

Na mwenye masikio na asikie😀😀😀😍

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Jinsi ya Kuelewa na kushughulikia tofauti za kimaadili na mpenzi wako

Jinsi ya Kuelewa na kushughulikia tofauti za kimaadili na mpenzi wako

Kuelewa na kushughulikia tofauti za kimaadili na mpenzi wako ni muhimu katika kujenga uhusiano wenye... Read More
Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya mazingira na utunzaji wa asili

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya mazingira na utunzaji wa asili

Katika dunia hii ya leo, utunzaji wa mazingira umekuwa suala muhimu sana kwa kila mtu. Tunahitaji... Read More

Kuweka Mazingira ya Amani na Furaha katika Maisha ya Kila Siku ya Familia

Kuweka Mazingira ya Amani na Furaha katika Maisha ya Kila Siku ya Familia

Kuweka mazingira ya amani na furaha katika maisha ya kila siku ya familia ni muhimu sana kwa usta... Read More

Jinsi ya Kuelewa na kukabiliana na changamoto za kusaidia na kuwajali watu wenye makundi ya kijamii

Jinsi ya Kuelewa na kukabiliana na changamoto za kusaidia na kuwajali watu wenye makundi ya kijamii

Kusaidia na kuwajali watu wenye makundi ya kijamii ni wajibu wa kila mmoja wetu. Kwa bahati mbaya... Read More

Jinsi ya Kusaidiana na mpenzi wako katika kujenga na kudumisha uhuru na uhuru wa kujieleza

Jinsi ya Kusaidiana na mpenzi wako katika kujenga na kudumisha uhuru na uhuru wa kujieleza

Kila mtu anahitaji uhuru na uhuru wa kujieleza katika mahusiano yao, na hii inatumika pia kwa wap... Read More

Je, ni muhimu kuwa na usawa wa ngono/kufanya mapenzi katika uhusiano?

Je, ni muhimu kuwa na usawa wa ngono/kufanya mapenzi katika uhusiano?

Habari za leo wapenzi! Sijui kama umewahi kujiuliza kuhusu umuhimu wa usawa wa ngono/kufanya mape... Read More

Jinsi ya Kupenda na Kusamehe: Njia ya Kuimarisha Uhusiano katika Familia

Jinsi ya Kupenda na Kusamehe: Njia ya Kuimarisha Uhusiano katika Familia

Jinsi ya Kupenda na Kusamehe: Njia ya Kuimarisha Uhusiano katika Familia

Familia ni chimbu... Read More

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kijamii katika Mahusiano: Kuweka Nafasi ya Kuwa na Marafiki Pamoja

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kijamii katika Mahusiano: Kuweka Nafasi ya Kuwa na Marafiki Pamoja

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kijamii katika Mahusiano: Kuweka Nafasi ya Kuwa na Marafiki Pamoja

... Read More
Jinsi ya Kuelewa na kukabiliana na changamoto za kiuchumi na mpenzi wako

Jinsi ya Kuelewa na kukabiliana na changamoto za kiuchumi na mpenzi wako

Kukabiliana na changamoto za kiuchumi ni sehemu muhimu ya uhusiano wenye afya. Hapa kuna njia kadhaa... Read More
Jinsi ya Kujenga furaha na uchangamfu katika uhusiano na mpenzi wako

Jinsi ya Kujenga furaha na uchangamfu katika uhusiano na mpenzi wako

Kujenga furaha na uchangamfu katika uhusiano wako na mpenzi wako ni jambo muhimu katika kudumisha uh... Read More
Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya usawa wa kijinsia na haki

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya usawa wa kijinsia na haki

Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya usawa wa kijinsia na haki ni muhimu kwa kujenga ufahamu... Read More
Vidokezo vya Kuonyesha Shukrani kwa Msichana Wako

Vidokezo vya Kuonyesha Shukrani kwa Msichana Wako

Hivi karibuni, wanaume wengi wamekuwa wakikosa jinsi ya kuonyesha shukrani kwa msichana wao. Hata... Read More