Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMS💌💕
AckyShine

Sababu 5 zinazosababisha wanawake warembo wazuri wasiolewe

Featured Image

Wanawake wengi warembo husalia peke yao na kufa katika hali hiyo kutokana na sababu tofauti.

Wengi huwa na tabia za kuudhi hali ambayo huwafukuza wanaume walio na uwezo wa kuwaoa
Umewahi kushangaa sababu za wanawake warembo zaidi kutoolewa? Kuna sababu tano ambazo huwafanya wanawake warembo kusalia wapweke.

1. Tabia mbaya

Wanawake kama hao huwa na tabia mbaya na kuhatarisha nafasi yao ya kupata mume. Wanaume wengi huwa hawapendezwi na tabia za aina hiyo hata mwanamke awe mrembo kiasi gani.

2. Baadhi ya wanawake hao huwa na maringo sana

eti hawawezi kuosha nyumba kwa kuogopa kucha zao zisikatike. Wengine hawaju kupika na hawawezi kulea watoto kwa kuogopa kuchafuka.

3. Ghali kuwatunza

Wanawake warembo huwa ghali kuwatunza kwa sababu huwa na dhana kuwa wanafaa kupelekwa katika hoteli kubwa kubwa na maeneo yaliyo na bidhaa ghali. Huwa hawalegezi msimamo hasa kuhusu mahitaji yao na wanakotaka kwenda kununua bidhaa.

4. Wabinafsi na wenye chuki

Wanawake wa aina hiyo hufikiria dunia ni yao na kwamba wanafaa kuabudiwa na kila mwanamume. Wanaume wengi hupenda kuhusiana na wanawake wa aina hiyo, ambao huwadharau kutokana na kuwa “wanapendwa” na wanaume wengi.

Wasichojua ni kuwa wanaume huwatumia tu na kuwaacha kutokana na tabia zao ili kutafuta mwanamke mzuri wa kuoa.

5. Hawataki kuwa wazazi

Wanawake hao hupenda kusalia wakiwa wa kupendeza, hivyo huwa wanaogopa kuzaa wasipate mikunjo, wasinenepe au kuwa na matiti kulegea. Kwa kawaida, hakuna mwanamume anayependa kuoa mwanamke ambaye hawezi kumzalia, hasa kwa sababu ya utamaduni wa Kiafrika.

Kama una sifa za aina hiyo, huenda ni wakati wako kubadilika ikiwa unataka kupata mume.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kujifunza na Kukuza Maarifa katika Familia

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kujifunza na Kukuza Maarifa katika Familia

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kujifunza na Kukuza Maarifa katika Familia

Familia ni kitovu ch... Read More

Jinsi ya Kukuza Utatuzi wa Mizozo na Ushirikiano katika Familia Yako

Jinsi ya Kukuza Utatuzi wa Mizozo na Ushirikiano katika Familia Yako

Familia ni kitu muhimu sana katika maisha yetu. Hata hivyo, tofauti za kifikra, tabia, na mengine... Read More

Njia za Kuongeza Uvumilivu katika Kufanya Mapenzi: Kujifunza Kudhibiti Msisimko

Njia za Kuongeza Uvumilivu katika Kufanya Mapenzi: Kujifunza Kudhibiti Msisimko

  1. Kujifunza kudhibiti msisimko kunaweza kuongeza uvumilivu wako wakati wa kufanya mapenzi... Read More

Njia za Kuimarisha Ushirikiano wa Kijamii na Familia katika Mahusiano

Njia za Kuimarisha Ushirikiano wa Kijamii na Familia katika Mahusiano

  1. Elewa Uzito wa Ushirikiano wa Kijamii na Familia: Jamii na familia ni muhimu sana katik... Read More

Jinsi ya Kujenga Maisha yenye Furaha na Ufanisi katika Familia yako

Jinsi ya Kujenga Maisha yenye Furaha na Ufanisi katika Familia yako

Karibu kwenye makala hii kuhusu jinsi ya kujenga maisha yenye furaha na ufanisi katika familia ya... Read More

Jinsi ya Kuunda Mazingira ya Kuwawezesha Watoto kufikia Malengo Yao

Jinsi ya Kuunda Mazingira ya Kuwawezesha Watoto kufikia Malengo Yao

Kuwawezesha watoto kufikia malengo yao ni jambo muhimu sana katika kuhakikisha kuwa wanakuwa na m... Read More

Kujenga Ushirikiano wenye Kuaminiana na Kuunda Amani na Furaha katika Familia

Kujenga Ushirikiano wenye Kuaminiana na Kuunda Amani na Furaha katika Familia

Kujenga ushirikiano wenye kuaminiana na kuunda amani na furaha katika familia ni muhimu sana kwa ... Read More

Jinsi ya Kujenga Intimiteti ya Kihisia katika Mahusiano

Jinsi ya Kujenga Intimiteti ya Kihisia katika Mahusiano

Mahusiano ya kimapenzi ni sehemu muhimu sana ya maisha yetu. Tunahitaji kuwa na mtu wa karibu wa ... Read More

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu mipango ya kujitolea na kutoa msaada

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu mipango ya kujitolea na kutoa msaada

Leo tutaangalia jinsi ya kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu mipango ya kujitolea na kutoa msaada. ... Read More

Kukabiliana na Mabadiliko ya Maisha katika Mahusiano: Kubadilika na Kukua Pamoja

Kukabiliana na Mabadiliko ya Maisha katika Mahusiano: Kubadilika na Kukua Pamoja

  1. Mahusiano yana mabadiliko yake, kama vile maisha yenyewe. Kwa hiyo, kuwa tayari kukabil... Read More

Njia za Kuheshimu na Kukabiliana na Tofauti za Kufanya Mapenzi: Kusaidia Usawa na Utendaji bora

Njia za Kuheshimu na Kukabiliana na Tofauti za Kufanya Mapenzi: Kusaidia Usawa na Utendaji bora

Kufanya mapenzi ni muhimu kwa ajili ya afya ya kimwili na kihisia, lakini ni muhimu kuheshimu na ... Read More

Kuhamasisha Mawasiliano Bora na Kusikilizana katika Familia Yako

Kuhamasisha Mawasiliano Bora na Kusikilizana katika Familia Yako

Kuhamasisha Mawasiliano Bora na Kusikilizana katika Familia Yako

Ili kuwa na familia yenye... Read More