Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMSπŸ’ŒπŸ’•
☰
AckyShine

Dalili za mwanamke anayeelekea kukukubali baada ya kurusha voko a.k.a kutongoza

Featured Image

Dalili ni hizi;


Anaongeza ukaribu


Ukiona anapenda kuwa karbu na wewe na kuandamana na wewe na anajisikia ufahari kuwa na wewe jua anaelekea kukukubali. Ukiona anajishauri ujue labda anaona hamlingani kuwa pamoja.


Anaanza kukuchunguza


Ukiona haachi kukuuliza maswali binafsi na kutaka kufahamu unaishije ikiwa na pamoja na kufahamu mambo unayoyapenda mfano unapenda vyakula vipi ujue anapenda kukujua zaidi ili akupendeze.


 

Anaulizia ndugu zako


Ukiona anapenda kukuulizia habari za ndugu zako na kutaka kuwafahamu basi ujue tayari amekukubali na anaanza maandalizi ya kujenga mahusiano nao.


Anakwambia mambo yake


Ukiona hupenda kukupasha habari zake binafsi na za ndugu zake wakiwemo marafiki zake basi ujue amekukubali na anakuaandaa kuwa kama mwenzake.


 

Anaonyesha kwa matendo


Kwa mfano anajishikashika maeneo ambayo yanautangaza uzuri wake kama usoni, nywele zake au hata kurekebisha nguo zake jua anajaribu kuwa mtanashati mbele yako ili akuvutie. Katika mazingira hayo dalili zote zipo kuwa kuna uwezekano mkubwa tayari anakukubali.






Yafahamu Mambo Mbalimbali kuhusiana na Wanawake kwa Ku-Download Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE




Kitabu hiki ni Soft copy [pdf] kwa hiyo unaweza kusoma moja kwa moja kirahisi kabisa hata kwenye simu yako. Utatumiwa Kopi ya kitabu hiki kwenye email yako na utaweza kukihifadhi na kusoma wakati wowote utakaotaka.





[products columns="2" ids="30827"]


AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Njia za Kukuza Ushawishi wa Mwanamke katika Kufanya Mapenzi: Kuamsha Uwezo wa Kujiamini

Njia za Kukuza Ushawishi wa Mwanamke katika Kufanya Mapenzi: Kuamsha Uwezo wa Kujiamini

Kama mwanamke, unapambana na changamoto nyingi katika maisha yako ambazo zinaweza kukuzuia kufany... Read More

Jinsi ya Kuonyesha Heshima na Upendo kwa Mke wako

Jinsi ya Kuonyesha Heshima na Upendo kwa Mke wako

Kuonyesha heshima na upendo kwa mke wako ni muhimu sana katika kukuza uhusiano wenye afya na furaha.... Read More
Je, watu wanapendelea ngono/kufanya mapenzi ya mvutano au ngono/kufanya mapenzi ya kupumzika?

Je, watu wanapendelea ngono/kufanya mapenzi ya mvutano au ngono/kufanya mapenzi ya kupumzika?

Je, watu wanapendelea ngono/kufanya mapenzi ya mvutano au ngono/kufanya mapenzi ya kupumzika? Hil... Read More

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya kisheria na mikataba

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya kisheria na mikataba

Leo, tutajadili jinsi ya kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya kisheria na mikataba. Kama ... Read More

Njia za Kuimarisha Heshima na Uthamani katika Mahusiano

Njia za Kuimarisha Heshima na Uthamani katika Mahusiano

Heshima na uthamani ni mambo muhimu sana katika mahusiano, kwani yanajenga msingi thabiti wa upen... Read More

Kuunganisha Kufanya Mapenzi na Intimiteti: Kuleta Uhusiano wa Karibu zaidi

Kuunganisha Kufanya Mapenzi na Intimiteti: Kuleta Uhusiano wa Karibu zaidi

Hapana shaka, mapenzi na intimiteti ni sehemu muhimu ya uhusiano. Kuunganisha kufanya mapenzi na ... Read More

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kiroho na Kuweka Msingi wa Imani katika Familia Yako

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kiroho na Kuweka Msingi wa Imani katika Familia Yako

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kiroho na Kuweka Msingi wa Imani katika Familia Yako

Familia ni... Read More

Kuweka Kipaumbele cha Mawasiliano ya Upendo katika Mahusiano yako

Kuweka Kipaumbele cha Mawasiliano ya Upendo katika Mahusiano yako

Mahusiano ni sehemu muhimu ya maisha yetu. Kila mtu anataka kuwa na mtu wa kumpenda na kuwa na uh... Read More

Jinsi ya Kujenga na kudumisha urafiki na mpenzi wako

Jinsi ya Kujenga na kudumisha urafiki na mpenzi wako

Kujenga na kudumisha urafiki mzuri na mpenzi wako ni muhimu katika kuimarisha uhusiano wenu. Hapa ku... Read More
Kuweka Kipaumbele cha Muda wa Kufurahisha Pamoja na Familia Yako

Kuweka Kipaumbele cha Muda wa Kufurahisha Pamoja na Familia Yako

Kuweka kipaumbele cha muda wa kufurahisha pamoja na familia yako ni muhimu sana kwa afya na furah... Read More

Vifaa vya Burudani katika Kufanya Mapenzi: Jinsi ya Kuchangamsha Uzoefu wako

Vifaa vya Burudani katika Kufanya Mapenzi: Jinsi ya Kuchangamsha Uzoefu wako

Kufanya mapenzi ni muhimu sana katika kuimarisha uhusiano wako na mwenzi wako. Kuna mambo mengi y... Read More

Jinsi ya Kuwa na Mawasiliano Mzuri na Msichana

Jinsi ya Kuwa na Mawasiliano Mzuri na Msichana

Leo tutazungumzia jinsi ya kuwa na mawasiliano mzuri na msichana. Kwa sababu ya tofauti za kijins... Read More