Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMS๐Ÿ’Œ๐Ÿ’•
โ˜ฐ
AckyShine

Kwa nini mara nyingine mimba inatungwa kwenye mrija wa kupitisha mayai badala ya kwenye tumbo la uzazi?

Featured Image

Mara nyingi utunguaji mimba nje ya mfuko wa uzazi hutokea kwa sababu ya maradhi kwenye via vya uzazi. Maradhi hayo huharibu mirija ya kupitisha mayai. Uharibifu huo hufanya yai lisiweze kufika kwenye mfuko wa mimba na mara nyingi unasababishwa na magonjwa ya zinaa. Kama mwanamke alikuwa na magonjwa ya zinaa uwezekano wa kutunga mimba kwenye mrija wa kupitia mayai unaongezeka.
Ikiwa unafikiri una mimba au iwapo una maumivu chini ya tumbo, unashauriwa uende kliniki kwa ajili ya uchunguzi.
Yai lililorutubishwa linapokaa kwenye mrija wa kupitisha mayai tunasema mimba i imetungwa nje ya mji wa mimbaโ€ectopic pregnancyโ€. Kwa maana hiyo basi,, ukuta mwembamba wa mrija utashindwa kutanuka kikamilifu i ili kubeba mimba i inayokua. Mrija hupasuka na damu kutoka. Ikitokea hali hii , lazima mwanamke aende hospitali kwa ajili ya kupasuliwa na pengine kuongezwa damu.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Je, ni kweli kuwa madhara ya uvutaji moshi wa sigara yako ni kidogo kuliko yale yatokananyo na kuvuta moshi kutoka kwa mvutaji?

Je, ni kweli kuwa madhara ya uvutaji moshi wa sigara yako ni kidogo kuliko yale yatokananyo na kuvuta moshi kutoka kwa mvutaji?

Uvutaji wa aina zote una madhara. Kama utavuta sigara na
kuvuta moshi kwa kutumia mdomo hadi... Read More

Je, kuna dawa zozote za kutibu magonjwa ya zinaa?

Je, kuna dawa zozote za kutibu magonjwa ya zinaa?

Magonjwa mengi ya zinaa yana dawa za kutibu, kwa mfano: kisonono, kaswende, klamdia, kankroidi au... Read More

Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Matumizi ya Kinga (Condom)

Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Matumizi ya Kinga (Condom)

Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Matumizi ya Kinga (Condom) ๐Ÿ˜Š๐ŸŒบ

Karibu kweny... Read More

Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kukosa Uaminifu kuhusu Ngono?

Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kukosa Uaminifu kuhusu Ngono?

Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kukosa Uaminifu kuhusu Ngono? ๐ŸŒŸ

Karibu kwa makala hii... Read More

Je, Ni Sahihi Kuanza Kujihusisha na Ngono nikiwa na Mpenzi Wangu?

Je, Ni Sahihi Kuanza Kujihusisha na Ngono nikiwa na Mpenzi Wangu?

Je, Ni Sahihi Kuanza Kujihusisha na Ngono nikiwa na Mpenzi Wangu? ๐Ÿค”

Jambo zuri kujiuliz... Read More

Kujikinga na Maambukizi ya UKIMWI: Njia za Kuepuka Hatari

Kujikinga na Maambukizi ya UKIMWI: Njia za Kuepuka Hatari

Kujikinga na Maambukizi ya UKIMWI: Njia za Kuepuka Hatari

  1. Jambo zuri ni kuwa na ... Read More

Njia za Kuzuia Mimba

Njia za Kuzuia Mimba

Njia za uzazi wa mpango zinatofautiana sana na zinaweza kugawanywa katika makundi mengi:

Vizuizi... Read More

Je,niwasiliane na niishi vipi na watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Je,niwasiliane na niishi vipi na watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Mtu anayeishi na virusi vya UKIMWI na UKIMWI anahitaji ushauri na mara pale atakapohisi unamjali ... Read More

Nifanyeje Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Matumizi ya Vipira (IUD)?

Nifanyeje Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Matumizi ya Vipira (IUD)?

Nifanyeje Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Matumizi ya Vipira (IUD)?

Karibu sana! Leo tut... Read More

Je, kama mwanamke na mwanaume wanapata watoto wa jinsia moja tu, ni kosa la nani?

Je, kama mwanamke na mwanaume wanapata watoto wa jinsia moja tu, ni kosa la nani?

Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupan... Read More

Je, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu?

Je, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu?

Ndiyo, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea, hata ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu. Mwenye magonjw... Read More

Je, kuna jukumu la kijamii katika maoni ya watu kuhusu ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna jukumu la kijamii katika maoni ya watu kuhusu ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna jukumu la kijamii katika maoni ya watu kuhusu ngono/kufanya mapenzi? Jibu ni ndiyo, kuna... Read More