Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMSπŸ’ŒπŸ’•
☰
AckyShine

Kwa nini pombe na sigara bado zinatangazwa wakati zina madhara?

Featured Image

Serikali inatakiwa iamue kuwepo kwa matangazo ya biashara
ya pombe na sigara au la? Serikali ina wakati mgumu katika
kuamua kati ya kulinda afya za watu na shinikizo litokalo
kwa wakulima pamoja na makampuni yanayotengeneza pombe
na sigara. Wenye viwanda na wauzaji wanataka bidhaa hizi
zitangazwe kibiashara kwa sababu wanapata pato kutokana na
kuzalishwa na kuuzwa kwa bidhaa hizi. Serikali yenyewe pia
inapata faida kutokana na kutangazwa kwa tumbaku na pombe
kwa sababu uuzaji wake unaipatia serikali ushuru kupitia kodi.
Nchini Tanzania serikali imeamua kuwa matangazo ya biashara
ya sigara yawe na onyo lisemalo,β€œUvutaji wa sigara ni hatari kwa
afya yako”. Hii inawajulisha wavutaji wa sigara kuhusu hatari
za uvutaji wa sigara na kuacha kila mtu ajiamulie mwenyewe.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Kwa nini Ni Lazima Kufanya Ngono na Mtu Mmoja Tu?

Kwa nini Ni Lazima Kufanya Ngono na Mtu Mmoja Tu?

Kwa nini Ni Lazima Kufanya Ngono na Mtu Mmoja Tu? 😊

Habari za leo vijana wangu! Leo tut... Read More

Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kuwa na Hamu ya Kufanya Ngono?

Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kuwa na Hamu ya Kufanya Ngono?

Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kuwa na Hamu ya Kufanya Ngono? πŸ˜ŠπŸ™Œ

Leo tutajadili j... Read More

Kunyonyana ulimi kunaweza kuchangia kupata virusi vya UKIMWI?

Kunyonyana ulimi kunaweza kuchangia kupata virusi vya UKIMWI?

Uwezekano wa kuambukizwa virusi vya UKIMWI kwa kunyonyana ndimi ni mdogo sana. Kwa kubadilishana ... Read More

Je, ukinywa pombe unaongeza damu?

Je, ukinywa pombe unaongeza damu?

Si kweli.
Pombe haiongezi damu, vitamini wala nguvu. Ukweli ni kwamba unywaji po... Read More

Je, ngono/kufanya mapenzi ni sehemu muhimu ya uhusiano wa kimapenzi?

Je, ngono/kufanya mapenzi ni sehemu muhimu ya uhusiano wa kimapenzi?

Je, ngono/kufanya mapenzi ni sehemu muhimu ya uhusiano wa kimapenzi?

Kwa wengi, kufanya ma... Read More

Je, ni kweli kwamba mtu anayekunywa pombe anaishi kwa muda mrefu kuliko yule ambaye hanywi kabisa?

Je, ni kweli kwamba mtu anayekunywa pombe anaishi kwa muda mrefu kuliko yule ambaye hanywi kabisa?

Si kweli. Mpaka sasa wanasayansi hawajathibitisha kwamba
mtu anayekunywa pombe kidogo ndiye ... Read More

Kwa nini vijana wanakatazwa kujamiiana?

Kwa nini vijana wanakatazwa kujamiiana?

Ujana ni kipindi cha mabadiliko kutoka utotoni kuelekea utu uzima, wakati wa kipindi hiki kijana ... Read More

Inatokeaje, katika baadhi ya mazingira baba anakataa kuwa mtoto si wake?

Inatokeaje, katika baadhi ya mazingira baba anakataa kuwa mtoto si wake?

Katika mazingira fulani, baba anapomuona mtoto ana ngozi
nyeupe anakataa ya kwamba mtoto si ... Read More

Kwa nini watu wanakuwa wagomvi na wakali wanapokuwa wamelewa?

Kwa nini watu wanakuwa wagomvi na wakali wanapokuwa wamelewa?

Madhara ya pombe husababisha watu walioolewa kugombana.
Kutokana na ushawishi wa pombe watu ... Read More

Je, zipo sheria zinazolinda watu wenye ulemavu hapa Tanzania?

Je, zipo sheria zinazolinda watu wenye ulemavu hapa Tanzania?

Ndiyo, zipo sheria
hapa T a n z a n i a
z i n a z o w a l ... Read More

Inakuwaje, baadhi ya Albino wana macho yanayochezacheza?

Inakuwaje, baadhi ya Albino wana macho yanayochezacheza?

Wapo baadhi ya Albino wenye macho ya kuchezacheza na
ambayo hayawezi kulenga pamoja. Hii ina... Read More

Je, kuna wataalamu Tanzania wanaowasaidia watu wenye matatizo ya dawa za kulevya?

Je, kuna wataalamu Tanzania wanaowasaidia watu wenye matatizo ya dawa za kulevya?

Ndiyo. Kuna mashirika yasiyo ya kiserikali (AZISE)
yanayotoa ushauri nasaha kwa watumiaji wa... Read More