Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMSπŸ’ŒπŸ’•
☰
AckyShine

Vituko vinavyoandikwa kwenye daladala

Featured Image

Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufu
ya kwenye daladala.

1.Yatima hadeki
2.Utamu wa chips mimba
3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni
4. Usiyempenda kaja
5. Kobe hapimwi joto
6. Acha kazi uone kaz kupata kaz
7. Ukichezea koki utalowa
8. Heshima pesa kipara kovu tu!
9. Mtumbwi hauna saitmira.
9. Silaha pesa bastola mzigo
10. Hata uoge mjini huendi
11. Chezea mshahara usichezee kazi.
12. Ukiona manyoya ujue kishaliwa
13. Ikisimama Panda
14. Pombe pombe tuu kunywea bar mbwebwe
15. Njia ya chooni haioti nyasi
16. Likizo ya maskini ugonjwa
17. When i grow up i want to be a scania
18. Hata bibi alikuwa binti
19. Kisigino hakikai mbele
20. Kama mapenz pesa kaolewe na benki
21. Hata barabara ina matuta lakin huwez panda viazi
22. Mavi hayana miba lakin ukikanyaga lazma uchechemee
23. Paka haishi kwa msela
24. Ukipendwa ujue kuna boya kaachwa
25. NIPO NIPO KWANZA
26. Mchana nzi ucku mbu
27. Ucmshangae funza kukata viuno ndio mwendo wake
28. Kama umelipenda(gari) bonyeza nyota liwe lako
29. Supermarket hawauzi mkaa
30. We nisubiri mi nakungoja.
31. Zetu dagaa kuku tamaa
32. Hata uwe na heshima vipi huwezi kumpokea askari bunduki
H
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜πŸ˜πŸ˜

Share na wenzako kuongeza siku za kuishi

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Azima (Guest) on April 21, 2015

🀣 Hii imenigonga vizuri!

Related Posts

Utani wa wachaga

Utani wa wachaga

Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-

1. WAROMBO; Hawa wajanja san... Read More

Hali za ndoa

Hali za ndoa

Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, aka... Read More
Huyu panya wa tatu ni noma

Huyu panya wa tatu ni noma

πŸ€ πŸ€ πŸ€Β Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi

Read More

Hii sasa ni kali

Hii sasa ni kali

Siku izi kujuana kumezidi hata ukienda msibani kama hauna connection hauli msosi

πŸ˜‚πŸ˜... Read More

Angalia huyu Jamaa alivyomuweza huyu mrembo

Angalia huyu Jamaa alivyomuweza huyu mrembo

Nipo kwenye daladala siti ya nyuma kabisa nimekaa na mrembo mzurii.sasa nikawa namtongoza kwa sau... Read More

Hapo sasa!! Ni shida!!

Hapo sasa!! Ni shida!!

Umeshawahi saidiwa homework na mzazi halafu unapata zero?

Hapo ndio unajua shida siyo we... Read More

Angalia hawa kina mama, ni shida..!

Angalia hawa kina mama, ni shida..!

Mama mdaku alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa... Read More

Utoto raha..! Angalia hawa watoto wanachokifanya sasa

Utoto raha..! Angalia hawa watoto wanachokifanya sasa

Leo nimepulizia Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia ... Read More

Ndege ya Tanzania

Ndege ya Tanzania

Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita t... Read More

Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake

Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake

Demu alimpigia simu jamaa yake ilikua weekend mazungumzo yalikua hivi:-

Read More
Kweli mitandao imeharibu watu, angalia huyu anachokisema sasa

Kweli mitandao imeharibu watu, angalia huyu anachokisema sasa

πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli nimeamin mitandao inahribu watu

Leo kuna jamaa kamuona Dada akipita barabara... Read More

Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama huyu

Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama huyu

HAKUNA MTU MWENYE MBIO, KAMA MSICHANA ALIYEPAKA MAKE UP ALAFU MVUA INYESHE…..... Read More