Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMSπŸ’ŒπŸ’•
☰
AckyShine

Maswali ya kijinga yakijibiwa vizuri

Featured Image

Haya ndiyo majibu mazuriπŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Q: Umenyoa nywele?

A: *Hapana, nimebadilisha kichwa.*

Q: Hiyo simu umenunua?

A: *Hapana nimeitengeneza mwenyewe.*

Q: Utakula mboga na nini?

A: *Mdomo*

(Simu inaita usiku,then aliyepiga anauliza) Q: Nimekuamsha?

A: *Hapana nilikuwa naota jua hapa nje.*

Q: Gazeti la leo linasemaje?

A: *Sijaongea nalo.*

Q: Gari limejaa, nitakaa wapi?

A: *Usijali dereva anashuka kituo kinachofata utapata kiti.*

Q: Hiyo ni ajali?

A: *Hapana ni driver ameamua kupark gari upside down* .

Q: Umepause movie?

A: *Hapana wamechoka kuact wanarest.*
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Robert Okello (Guest) on July 20, 2015

Wow, hizi kichekesho ni dhahabu kabisa! πŸ’°

Anna Mahiga (Guest) on July 12, 2015

πŸ˜† Ninakufa hapa!

Latifa (Guest) on June 30, 2015

😁 Imeongezwa kwenye vipendwa!

Carol Nyakio (Guest) on June 13, 2015

Wow, hii kichekesho ni mshindi kamili! πŸ†

Vincent Mwangangi (Guest) on June 5, 2015

Hii joke ni ya kufurahisha! 🀣🀣

Edward Lowassa (Guest) on May 15, 2015

Hii imenipa furaha ya siku! πŸ˜†πŸ˜‚

Monica Adhiambo (Guest) on April 4, 2015

πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜Š

David Nyerere (Guest) on April 3, 2015

πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜‚

Related Posts

Mvua zazua kasheshe! Soma hii..

Mvua zazua kasheshe! Soma hii..

Baba- : Halloo mke wangu.. yaani ni shida sitaweza kurudi nyumban, daraja limevunjika na kutoka m... Read More

Cheki tulichokifanya jana

Cheki tulichokifanya jana

JANA APA HOME

JENERETA LILIWASHWA

ACHA TUHANGAIKE KULIKUNA

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... Read More

Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya

Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya

Njeri:Β Roysambu ni ngapi?
Makanga:Β Roysambu ni moja tu. ... Read More

Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!

Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!

Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinz... Read More

Ukata wa January

Ukata wa January

Boss;-Β kwa nini umechelewa kazini
Juma;-Β kuna mtu njiani alidondo... Read More

Huku ndiko kuumbuka bila chuki

Huku ndiko kuumbuka bila chuki

Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofik... Read More

Kwa nini watu hawapendi hesabu!! Sababu hii hapa!

Kwa nini watu hawapendi hesabu!! Sababu hii hapa!

Sababu ni hii

AL-SHABAB
AL-QAEDA
Kwenye MATHEMATICS pia kuna kundi linaitwa

Read More
Hiki ndicho kifo mbele ya Mwanamke

Hiki ndicho kifo mbele ya Mwanamke

Hiki ndiyo kifo.

KIFO NI NINI..

Kifo ni pale girlfriend w... Read More

Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake

Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake

Demu alimpigia simu jamaa yake ilikua weekend mazungumzo yalikua hivi:-

Read More
Angalia huyu baba alichowafanya mtoto wake wa kike na boyfriend wake

Angalia huyu baba alichowafanya mtoto wake wa kike na boyfriend wake

BABA OYEEEEEEπŸ’ͺπŸ’ͺ
Soma hii…

Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mar... Read More

Kisa cha mzaramo na mchaga

Kisa cha mzaramo na mchaga

MZARAMO V/S MCHAGA.
Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote
kwa tsh. 100,000/=Read More

Angalia anachokisema Madenge sasa

Angalia anachokisema Madenge sasa

MWALIMU kaingia darasani na kusema. "Wanaojijua wajinga wasimame".

MADENGE akasimama peke y... Read More