Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMS๐Ÿ’Œ๐Ÿ’•
โ˜ฐ
AckyShine

Baadhi ya misemo mikali ya leo

Featured Image

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.

2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.

3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?

4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.

5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.

6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.

7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.

8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.

9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.

10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi kufunika sufuria.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Jacob Kiplangat (Guest) on August 13, 2015

Nimecheka hadi nina furaha sana! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚

Sarah Karani (Guest) on June 22, 2015

๐Ÿ˜† Nacheka hadi chini!

Nicholas Wanjohi (Guest) on May 24, 2015

Hii imenichekesha sana! ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜‚

Andrew Mahiga (Guest) on May 2, 2015

Hii imenipa kicheko cha siku! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

Related Posts

Wasichana wafupi wanafurahisha

Wasichana wafupi wanafurahisha

Wasichana wafupi wananifurahisha sanaโ€ฆ. Yaan siku ya Valentine, wakivaa magauni mekund... Read More

Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo

Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo

Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.
Wa... Read More

Sio kwa wivu huu

Sio kwa wivu huu

Wanawake nilianza kuwachukia tokea shule ya msingi.

Ni pale mwanamke wangu aliponiacha na k... Read More

Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu mrembo kanisani

Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu mrembo kanisani

Jamaa kaenda kanisani akakaa karibu na mrembo. Wakati mahubiri yakiendlea jamaa akaanza kuingiza voc... Read More
Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wangu

Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wangu

Mwenzenu nilikatiwa umeme jana basi leo si nikaamua kwenda kununua luku ya 10,000. Kufika njiani ... Read More

Cheki masifa yalivyomponza huyu, Sifa nyingine ni mbaya jamani

Cheki masifa yalivyomponza huyu, Sifa nyingine ni mbaya jamani

Mbongo, Mganda, na Mkenya walikamatwa na makosa Uchina. Wakaambiwa adhabu ni ama kifo cha moja kwa ... Read More
Jinsi mzunguko wa elimu ulivyo

Jinsi mzunguko wa elimu ulivyo

01.๐Ÿ‘‰ Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical sc... Read More

Lugha za namba ni noma

Lugha za namba ni noma

Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. Akanijibuย Read More

Hapa itakuaje?

Hapa itakuaje?

NAJISIKIA NIMEBOEKAโ€ฆ

SIJUI NIENDE KAMBI YOYOTE YA JESHI NITEREMSHE BENDERA

ALAFU NI... Read More

Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula

Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula

Hapa ni shida

KUKUTA NYWELE KWENYE CHAKULA SIO TATIZO,TATIZO NI KUWAZA ITAKUWA IMET... Read More

Angalia huyu mwalimu alichokifanya

Angalia huyu mwalimu alichokifanya

Mwalimu aliingia darasani akiwa amechoka kinoma
akawambia wanafunzi.

'leo tutajifunza ... Read More

Hali za ndoa

Hali za ndoa

Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, aka... Read More