SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tu
Uzuri wako sio sababu ya mimi kukupenda
Updated at: 2024-05-25 15:37:35 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tu Uzuri wako sio sababu ya mimi kukupenda Ila nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika.
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read more
Close
Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema
Updated at: 2024-05-25 15:36:07 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
"""""Yule""""" Anipendezae lazima nimkumbuke"" ""nimpe salamu ""moyo"" wangu ""uridhike"" ""Nimuombee kwa MWENYEZI ""MUNGU"" mabaya yamuepuke"" ""na kila lililo la kheri kwake lisiondoke''" ""nakutakia''" "ucku mwema"
Read more
Close
SMS Nzuri za Mapenzi
Updated at: 2024-09-03 07:51:45 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila kujali.
Read more
Close
Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo
Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani, Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo
Updated at: 2024-05-25 15:37:58 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani, Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo karibu yangu. Ni zaidi ya roho iendayo safarini.
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read more
Close
SMS nzuri kwa mpenzi wako kumwambia kuwa ameitibu akili yako
Updated at: 2024-05-25 15:25:24 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Chuki huharibu akili; mapenzi huitibu. Umeitibu akili yangu.
Read more
Close
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa utampenda mpaka mwisho wa uhai wako
Updated at: 2024-05-25 15:25:05 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Penzi lako ndiyo pumzi yangu nawezaje kukuacha laazizi, ina maana nife??? Siwezi kukuacha nakupenda. Nitakupenda mpaka mwisho wa uhai wangu.
Read more
Close
SMS ya kumwambia mpenzi wako anakufaa kwa kila kitu
Updated at: 2024-05-25 15:25:59 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!
Read more
Close
SMS ya kumsisitiza mpenzi wako asiende kwa mwingine
Updated at: 2024-05-25 15:26:03 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
chekecho la huba ,toka uvunguni mwa moyo wangu navika moyo wako taji la upendo,na kupulizia marashi ya hubaa ,usimpe mwingine mi ndiye ninayejua kulea.
Read more
Close
SMS ya kuahidi kumpenda mpenzi wako milele
Updated at: 2024-05-25 15:26:17 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yako nitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu, pendo langu la undani, na nitakUHESHIMU milele mpenzi wangu.
Read more
Close
Ujumbe mzuri wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi mapenzi huanza na wewe na yeye
Updated at: 2024-05-25 15:25:39 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi na mapenzi huanza na mimi na wewe.
Read more
Close