Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa ulimpenda tangu siku ya kwanza na utazidi kumpenda
Updated at: 2024-05-25 15:22:17 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
nilivyokutana nawe siku ya kwanza nilikupenda kwa dhati,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,siwezi kuchezea nafasi hiyo laaziz,nitakushika daima.
Updated at: 2024-05-25 15:27:10 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako?
Updated at: 2024-05-25 15:27:14 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?