Updated at: 2024-05-25 15:26:24 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi.
SMS ya ujumbe wa kimahaba wa kifumbo kwa mpenzi wako
Updated at: 2024-05-25 15:25:36 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kila mtu anataka kuwa jua linalong’arisha maisha yako, lakini ni afadhali niwe mwezi, ili nikuangazie wakati wa giza ambapo jua limechwea na haliangazi tena.
Meseji ya kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe
Updated at: 2024-05-25 15:23:52 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbali nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi.
Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako asichoke kukupenda
Updated at: 2024-05-25 15:23:12 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI