Updated at: 2024-05-25 15:27:15 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
SMS ya kumuahidi mpenzi wako kuwa utaendelea kumpenda
Updated at: 2024-05-25 15:23:15 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU"
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa huna linalokuhuzunisha maishani kwa kuwa mnapendana
Updated at: 2024-05-25 15:22:49 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Imani hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufua yaliyopoteza uhai, lakini mapenzi hufanya mambo yote yaonekane mazuri. Sina linalonihuzunisha maishani mwangu kwa kuwa tunapendana!
Updated at: 2024-05-25 15:22:15 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
kama ni usafiri wewe ni gari salama,kama ni kiwanda wewe ni namba moja ,kama ni maji kwako kuna chemchem,kama ni mapenzi kwako nimefika,niahidi utakuwa nami siku zote maishani mwangu.