Updated at: 2024-05-25 15:27:15 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje. Hodiiiiii, Hodiiiii,
Updated at: 2024-05-25 15:37:09 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.
Hodiiiiii, Hodiiiii,
Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO. Tulikuwa wengi HURUMA na UPOLE wanakuja nyuma. CHUKI na WIVU hawana nauli. TABU ni mahututi. SHIDA yuko jela. MATATIZO amepigwa shoti ya umeme. MIKOSI amefariki njiani. LAANA ameliwa na mamba. UVIVU ameungua na maji ya moto hajiwezi. Tutakuwa nawe daima maana tumefika kwa NEEMA . Mungu akulinde na mabaya yote katika dunia hii. ucku mwema.
Updated at: 2024-05-25 15:26:08 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.
Meseji ya kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe
Updated at: 2024-05-25 15:23:52 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbali nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi.