Updated at: 2024-09-03 07:51:45 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila kujali.
Ujumbe kwa umpendaye kumwambia kuwa sms ni kitu muhimu kutumiana katika mapenzi
Updated at: 2024-05-25 15:26:55 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Tone la mvua huonekana dogo sana, lakini kwa mwenye kiu hulisubiri kwa hamu kubwa. Sms ni kitu kidogo, lakini huonyesha mahali fulani yupo mtu ANAYEKUPENDA, ANAKUKUMBUKA, ANAKUOMBEA, ANAKUJALI na, ANAKUTAKIA mafanikio mema
SMS ya kumsisitiza mpenzi wako asiende kwa mwingine
Updated at: 2024-05-25 15:26:03 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
chekecho la huba ,toka uvunguni mwa moyo wangu navika moyo wako taji la upendo,na kupulizia marashi ya hubaa ,usimpe mwingine mi ndiye ninayejua kulea.