Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia akupende kama unavyompenda
Updated at: 2024-05-25 15:25:07 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nakupenda mpenzi wangu, sifikirii kitu chochote zaidi yako na kwa kuwa nakupenda sipendi kuwa na urafiki hata na mwingine kwani atakuwa anabana nafasi niliyokuwekea wewe. Noamba unipende nami nakupenda kila sikunde inayopita maishani mwangu. Mwaaaaaaaaa
SMS yakumtumia mtu unayempenda lakini hamko kwenye mahusiano
Updated at: 2024-05-25 15:26:59 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
macho huona na moyo hurdhia,ila co kila kitu jicho lionalo moyo hurdhia.lakn pind moyo urdhiapo upendo moyon huingia.moyo huwa kpofu japo wng wa hisia.upendo ndan ya moyo haupimwi kwa mizani kwa unayemzimikia. moyo wangu umepata hisia Kwa flan licha bdo cjamjua.
Meseji ya kumwambia mpenzi wako asiwaze hata siku moja kuwa unawea kumuacha
Updated at: 2024-05-25 15:25:03 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza kusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.