Updated at: 2024-05-25 15:26:27 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakini yanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala si njaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa unaempenda
Meseji ya kumtumia dia wako kumuonyesha jinsi unavyompenda
Updated at: 2024-05-25 15:23:18 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na liku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2 Linatokea Bila Kujua Na Halina 7bb.neno Hlo Mi Mwenyewe Silijui Ila Ndo Lina2fanya 2we Pamoja Japo 2po Kas Na Kus. Nakupenda Xana Dia
Meseji ya kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda
Updated at: 2024-05-25 15:35:58 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?