Updated at: 2024-05-25 17:48:24 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
MDADA: Baby nikwambie kitu MKAKA: Yeah Baby Uko huru nambie MDADA: nilikua naomba hela babyβΊ MKAKA: WW nae kwa kupenda hela jana tu nmekupa hela Leo unaomba ya nn π MDADA: hapanaπ Bby sio hivyo nlikua nataka nikashuhudie tetemeko la ardhi BUKOBA nasikia huko linaonekana vizur . ππππππππ Wanawake kumbukeni sio vizuri
Nilichomfanyia huyu aliyenizingua nilipomuazimisha pasi
Updated at: 2024-05-25 17:03:53 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
ππππππ Jana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu, Jamaa wakaniambia nichukue nguo nikanyooshe room kwao maana hawataki pasi yao itoke. Sasa leo amekuja mmoja wao kuazima mopper akasafishe room, nimemwambia aje adekie humu humuβ¦
Jamaa ameondoka nadhani atakua ameenda kuchukua maji π€π€π€
Updated at: 2024-05-25 17:10:41 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Tulikua kwa basi tunaelekea arusha,ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari, nikaenda kumziba macho nkamuulizaΒ otea mi ni nani, kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sana NA SASA HIVI NIMEZINDUKA NIMEONA ABIRIA WOTE TUPO WODI NAMBA 3 HAPA KCMC MOSHI. π€π€π€π€ SODA ZA WAGONJWA PLIIIZ!!! πππππ
Updated at: 2024-05-25 17:15:01 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa kaingia mgahawani kwa fujo JAMAA :Β Nipe soda moja na kila mtu mpe yake maana ninapokunywa soda napenda kila mtu anywe WATU :Β Ha! Ha! Ha! Haaaa! JAMAA :Β Nipe mchemsho na kila mtu mpe wa kwake maana ninapokula mchemsho napenda kila mtu ale wake WATU:Β Watu weweeee! Tena safari hii Na makofi juu.. JAMAA :Β Mhudumu, nipe bili na kila mtu mpe yake maana ninapolipa bili napenda kuona kila mtu analipa yake πππππππ