Updated at: 2024-05-25 18:10:22 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mama mdaku alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini? Uzalendo ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila siku mchungaji anakuja kwako, vipi anakuja kukuombea?" Akajibiwa "Nyoo, umbea tu! Mbona kwako kila siku anakuja mwanajeshi kuna vita! chefuuuu ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ
Kilichompata huyu anayependa kusoma SMS za watu kwenye daladala
Updated at: 2024-05-25 17:01:56 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jana nilipanda daladala nikapata seat nikaketi, nikawa nimejiachia ninachati kwenye simu yangu(Smart phone), kukawa na jamaa kasimama pembeni yangu, ye hakupata seat. Sasa akawa anasoma message zangu bila aibu yani anafutilia ninavyochatiโฆ
Basi nikasema ngoja nimtie Adabu mshenzi huyuโฆ. Nikacheck saa yangu yamkononi kisha nikatext:ย "Oya Ben Kwaheri bwana, zimebaki sekunde 30 tu hili bomu๐ฃ lilipukeโฆ najua hatutaonana tena, nitunzie Familia yangu, wambie nawapenda sanaโฆ"ย Yule jamaa akajirusha dirishaniโฆโฆ๐๐
โkwani mi napenda ujinga xx ๐๐๐๐๐๐๐
Updated at: 2024-05-25 17:03:30 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami..
Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi mashaallahโฆ!! sasa baada tu ya kumfika msg.. na huku picha ikafunguka kumbe picha ya Sokwe..!! Basi Kaniambia kesho niende ofsini kwake kuna barua yangu.. Nahisi hyo barua ina pesa, hapa cjalala, nmekosa usingizi kabisa,nawaza ninunulie nn hyo pesa.Na kesho asubuhi sa 12 asubuhi atanikuta ofisini kwake naisubiri barua, sipendagi ujinga mimi.
Updated at: 2024-05-25 17:57:23 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake
anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke,
mkewe akakataa, akamwambia baba yake
akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa
zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa
babaake, mwisho babaake akamwambia basi
ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi
hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu!
Basi kijana akajifanya anaumwa mzee akaitisha
kikao cha ndugu wote pande 2,
Mzee akaanza kueleza jaman kijana wetu
anaumwa amepata ugonjwa wa utata hospital
zote umeshindikana hivyo tumeenda kwa mganga
wa jadi amenipa dawa na ina masharti, inatakiwa
atakaye iandaa hii dawa awe mwanamke mwenye
ndoa ambaye hajawah kutoka nje ya ndoa tangu
alipoolewa ndo kijana wetu atapona!
Kama ametoka nje ya ndoa asiandae dawa hii
kwa sababu tukimpa kjana wetu watakufa wote!
Je kina mama nani ataandaa? Walitoka nje
wamama mmoja mmoja hadi mkewe na mamake
mzazi wakatoka, akafata mama ake kijana,
mashangazi na dada zake, mwisho wakabakia
wanaume peke yao! Mzee akamwambia
mwanangu umeona hali za ndoa zilivyo?
Acha kujisumbua tulia na mkeo nadhani
umejionea hali halisi.
Cha zaidi omba Mungu sana juu ya ndoa yako!
Kijana akazimia!
SOMA TENA KISHA MTUMIE NA MWENZIO.
Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani mhudumu akaja,
Mhudumu: kaka nikuhudumie nini,
Jamaa: afathal NILETEE MENU LISTI
Updated at: 2024-05-25 18:03:52 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani mhudumu akaja,
Mhudumu: kaka nikuhudumie nini,
Jamaa: afathal NILETEE MENU LISTI
Mhudumu: dada na wewe?
Demu akajibu kwa pozi tena kwakujishaua, "NA MIMI NILETEE MENU LIST ILA USIWEKE CHUMVI NYINGI"
Chezea mbulula weweโฆ!!!
Alichofanya mke baada ya mme wake kupenda kumchunga sana
Alifanya hivi; Siku ya kwanza
MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?. MKE: Salama tu MUME: Uko wapi? MKE: Jamani si niko nyumbani MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa blender nisikieโฆ..mkeยญ akawasha blender MKE: Umesikia? MUME: Okay haya mi natoka kazini naja
ย
Updated at: 2023-04-29 22:53:52 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Alifanya hivi; Siku ya kwanza
MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?. MKE: Salama tu MUME: Uko wapi? MKE: Jamani si niko nyumbani MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa blender nisikieโฆ..mkeยญ akawasha blender MKE: Umesikia? MUME: Okay haya mi natoka kazini naja
Siku ya pili MUME: Vipi mko salama huko? MKE: Tupo kama ulivyotuacha MUME: kwani uko wapi? MKE: Niko nyumbani napika MUME: Washa brender kama kweli uko nyumbani Mke akawasha blender MKE: Umesikia? MUME: Poa ntarudi baada ya masaa mawili
Siku sita baadaeย mume akaamua kurudi bila kumtaarifu mkewe alipofika home kamkuta mdada wa kazi yuko peke yake. MUME: We mama yako yuko wapi? MDADA: Sijui ameondoka na blender toka asubuhi
Updated at: 2024-05-25 17:11:57 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
MZARAMO V/S MCHAGA. Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100,000/= Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki yako nakukuongeza laki nyingine. MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa. MZARAMO: "unaumwa nini?" MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.." MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.." Mchaga akatoa. MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.." MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?" MZARAMO: "Umepona karibu tena.." Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake. MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau sanaaaaa.." MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..' MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..' MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.." MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?" MZARAMO: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.