Tafuta

πŸ‘‰ Watu wanaoishi na ulemavu wanapewa huduma za upasuaji hasa wakati wa kujifungua ?πŸ‘‡βœ”

Upasuaji unafanyika kwa wanawake wote ambao wamegundulika
kuwa na tatizo la kujifungua kwa njia ya kawaida. Hii inafanyika
bila kujali hali yao kwa maana kwa watu wenye ulemavu na
wasio na ulemavu. Kila mwanamke atapata huduma hiyo kama
itakuwepo sehemu anapoishi.
Tatizo lililopo hapa Tanzania kwa sasa hivi hasa sehemu
zilizojitenga ni umbali wa kufikia huduma hii. Umbali huu
unamfanya mama aliyeanza uchungu wa kujifungua kushindwa
kuweza kufika kwa muda unaotakiwa.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Watu wanaoishi na ulemavu wanapewa huduma za upasuaji hasa wakati wa kujifungua ?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Marafiki zako wa enzi ukiwa mdogo wanakutafuta hapa Wanataka mkumbukie furaha na raha za utotoni

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

Ndugu.gif

.