Tafuta

Tafuta ndugu mliopoteana hapa Wanakusubiri uwatafute

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Watu wanaamini kuwa Albino wana joto katika mapenzi kuliko watu weusi, Je, hiyo ni kweli?πŸ‘‡βœ”

Hii siyo kweli,
tofauti
baina ya Albino
na mtu a s i
ekuwa na ualbino
i m e e l e z w a
hapo mwanzoni
ambapo tofauti
ipo tu kwenye
muonekano wa
rangi ya ngozi,
nywele n a macho. Mifumo yao yote mingine ya mwili iko sawa na watu
wasio na ualbino.
Watu wanaweza tu kuanzisha uvumi kama huo popote pale.
Ipo pia mifano kama: Wajerumani wanaamini kuwa Wafaransa
wana joto katika mapenzi, Wazungu pia huamini kuwa Waafrika
wana joto n.k. Hizo ni hisia tu na siyo ukweli. Katika jamii wapo
watu ambao wanapenda kufanya ngono sana, wapo wa wastani
na wapo wale ambao hawajisikii msukumo wa kujamiiana. Uvumi
huu unatokana na mawazo ya kifikra na siyo ukweli halisi.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Watu wanaamini kuwa Albino wana joto katika mapenzi kuliko watu weusi, Je, hiyo ni kweli?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Tafuta ndugu zako wa damu hapa Unawapata hapa moja kwa moja

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

Ndugu.gif

.