.

πŸ‘‰ wanawake wanaweza kulewa haraka kuliko wanaumeπŸ‘‡βœ”

IMG_20180125_211418.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 30 Jan 2016 14:14. [Legal & Authority]


wanawake wanaweza kulewa haraka kuliko wanaume

Wasichana na wanawake wanaweza kulewa kwa ujumla.
Mara nyingi, hulewa pombe haraka kuliko wanaume. Hii
inatokana na uzito mdogo wa miili yao, na kiasi cha mafuta na
maji katika miili yao. Kilevi husambaa kiasi kikubwa katika miili
ya wanawake. Maini yao huharibika kirahisi zaidi kuliko maini
ya wanaume.

Kutokana na kilevi, wanawake au wasichana huwa wepesi
kufanya vitu ambavyo wasingefanya kama wasingelewa.
Wanaume hutumia nafasi hii kuwashawishi kufanya mapenzi
bila kuchukua tahadhari yoyote kama vile kutumia kondomu ili
kupunguza maambukizo ya VVU.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Usiyoyajua kuhusu pesa haya hapa.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (wanawake wanaweza kulewa haraka kuliko wanaume).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, wanawake wanaweza kulewa haraka kuliko wanaume? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20180108_172415.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Karibu tena katika blog yako nzuri uipendayo isiyochosha na yenye mambo mapya kila siku. Usipitwe na Blog hii kila siku"

utotoni.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS