.

πŸ‘‰ Wachaga Na Tofauti ZaoπŸ‘‡βœ”

IMG_20170703_130425.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 28 Oct 2017 07:45. [Legal & Authority]


Wachaga Na Tofauti Zao

WACHAGA WA ROMBO

Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia.wameajiri wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini.

WACHAGA WA MARANGU

Wamarangu wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna warombo,wanaume ni waoga kuliko wanawake.

WACHAGA WA KIBOSHO

Wakibosho wanafanana na warombo lakini ni wavumilivu zaidi,wanatunza pesa vizuri na wanahasira sana,ila wanamsimamo katika biashara,

WACHAGA WA MACHAME

Wamachame hawa ni wezi sana,ukifanya nae dili umeliwa,niwasiri sana,anaweza kukuua huku akitabasamu,sio waaminifu sana lakini huenda kanisani mara nyingi zaidi wachaga wote.

WACHAGA WA URU

Wauru,hawa hupenda kusoma sana lakini hawapendi maendeleo kabisa,wanawake wakifikisha umri wa 40 yrs hua wehu,na wanaume ni vichaa mapema zaidi,wanaume ni wavivu,wanawake wachapakazi,ukioa huko jiandae kulea kichaa,

WACHAGA WA KIRUA

Wakirua, wanapenda sifa kama wahaya,mwanamke wa kirua hawezi kua na mwanaume mmoja na wanaume wao hawaoi ukoo wao,wako wachache lakini watatu tu mjini mtadhani wako mia.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Wachaga Na Tofauti Zao).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


IMG_20180108_172040.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Karibu tena katika blog yako nzuri uipendayo isiyochosha na yenye mambo mapya kila siku. Usipitwe na Blog hii kila siku"

rafiki.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS