Tafuta

Kutana na marafiki zako hapa Usijali wapo kwa ajili yako

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Vijana Albino wafanye nini ili kulinda ngozi yao?👇✔

Pamoja na matatizo ya kuona, ngozi ya Albino ni rahisi sana
kudhurika kwa mionzi ya jua. Hatima yake ikiwa ni uwezekano
mkubwa wa kupata saratani ya ngozi. Hivyo basi, kila Albino
anashauriwa daima kujikinga dhidi ya mionzi ya jua kwa kuvaa
nguo za mikono mirefu, kuvaa kofia pana, kuvaa miwani ya jua na
kwa wale wenye uwezo kujipaka mafuta maalumu yanayosaidia
kukinga ngozi dhidi ya mionzi ya jua.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Vijana Albino wafanye nini ili kulinda ngozi yao?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Ndugu yako yupo hapa anakuulizia Anakupenda sana na amekumiss

👉SOMA ZAIDI HAPA...

nn.gif

.